Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kushinda raha sana guys...
Lakini ni vyema furaha zetu zikawa sawa na hali ya timu tunazozifunga...
Leo mumewafunga Huddersfield, hongereni sana kwa ushindi..!
 
Leo Keita anaelekea kumaliza 90mins, na Milner hajaingia kabisa leo. Nahisi tutamona Keita bench na Milner ndani mechi ya dhidi ya Barcelona.
Milner-Mzee wa kufata maelekezo but sometimes anatibua

Nikikumbuka the last time akiwa man city wakicheza Vs barcelona alivokua nutmegged na Messi sitamani hata aanze
 
Hii ndio sababu napenda kutembelea jukwaa hili bonge la kifurushi limeachiliwa hapa
 
5-0 lkn tulistahili tufunge bao zaidi!
Salah mara mbili badala ta kupiga cross Mane afunge yy anapiga mshuti!Nadhani ni kutaka kuwa mfungaji bora!

Liverpool HALISI tuzidi shikamana ubingwa ni wetu!
 
Hii ndio sababu napenda kutembelea jukwaa hili bonge la kifurushi limeachiliwa hapa

Unakubali hata uchambuzi uchwara!Pole yako sana!
Pep ka master nn msimu huu?Kama Liverpool anakosa ubingwa ni kujilaumu wao wenyewe wala sio mbinu za Pep!

Pep kafungwa na 4 trash teams sasa hapo ana master nn kama sio Klopp mwenyewe kukosea kwa kupata sare nyingi?

Kocha mwenye ku master game plan zake anatolewa mara mbili mfululizo na teams za EPL tena akimalizia mechi ya mwisho uwanja wke wa nyumbani?

Usimeze kila uchambuzi uchwara kaka tumia instincts zako sometikes
 
Nakubali 100% mbinu za Pep EPL zilifanya kazi mwaka jana lkn mwaka huu zimeshindwa,kama anachukua tena EPL ni Liverpool kujilaumu sisi wenyewe!
Sare mfululizo zilizo irudisha sana nyuma Liverpool za WHU,LC,Man U na baadae Everton zilisababishwa na mbinu za Pep?
Nonsense at all!
 
Atachukua hana game ngumu tena yule mkuu,unazani nani atamsimamisha na ana hasira za kutofuzu nusu final ya uefa kizembe.
 
Atachukua hana game ngumu tena yule mkuu,unazani nani atamsimamisha na ana hasira za kutofuzu nusu final ya uefa kizembe.

Kafungwa na NC,CP na LC
Hizo teams sio teams kubwa,Pep ka struggle kwa teams ndogo kuliko teams kubwa!
Liverpool tupo sawa sawa!
 
Hivi una akili au unaongea kushabiki, unasemaje mbinu za Pep msimu huu zimefeli wakt anapoint 88 na bado mechi tatu, ningekuelewa ungesema nyie liver pool ndo mko kwenye form nzr mwaka huu hadi mnachallange Pep.
Hivi kati ya Liver na Man city nani anamchallange mwenzie?
 
mkuu hata wewe umeshakubali kuwa klopp ndio chanzo cha sisi kukosa ubingwa mbona watu walipokuwa wanakosoa first 11 yake kwa baadhi ya mechi ulikuwa unasema yeye klopp ndio anajua soccer management hivyo hana analokosea
 
Afu unasema kufikia hapo mlipo hakuja tokana na mbinu za Pep wakt nyie liver kwa pep mmeambulia point moja tu uku Pep akiwa amepata point NNE kwako. Are you serious?
Changia ukweli si kushabikia
 
Hana Akili huyo mkuu unapoteza muda wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…