Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
VVD anastahili jamaa yupo vizuri sana...Sterling na Van Djik mmojawapo anaeza beba award...hao wengn washiriki tuu. Van Djik abebe tu
VVD anastahili jamaa yupo vizuri sana...
St Marys japo wakipokea kitita kizito ilikua halali yao..watakula adds on mpaka basi.
Whateva th outcome il be hope we keep our main players n sign direct 1st 11 players to have th right squad to challenge all for th grabs come next season...This will make us regrate if we won't grab that crown.
Draw vs Leicester
Draw vs Westham
Draw vs United (was easy)
Draw vs Everton.
Ohh Lord be on our side",. In your name i believe we will archieve",..
AMEN.
kabisa th boy amejaaliwa na instinct n capabilities za kua th very best defender in Europe kwa sasa...Anastahili kabsa..waache mambo ya uzawa!! Jamaa ndy defender mzur sana kweny ueropian football kwa saiv...physicality yake tu + akili za defending zinam-beba
Hahahahahahahahahahahaha sisi Liverpool HALISI tumechoka kusubiri bana ..sisi kama Klopp akikosa kombe tumtimue bana ...
Itakuq fresh tu..Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
Hakuna shida, tutajipanga kwa next season huku tukiuguza maumivu yakukosa kombe msimu huu,Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..kabisa th boy amejaaliwa na instinct n capabilities za kua th very best defender in Europe kwa sasa...
anafanya pia ma partna wake pale nyuma kucheza vyema, Matip nilishasema ni moja ya wachezaji wa kuuzwo lakini tangu awe partner wa VVD kawa mzuri sana anajua nini afanye na kwa wakati gani..
anamfanya Robertson kupeleka mashumbulizi mbele huku akiwa na confidence VVD il cover for him just incase...
For £70m ni kama tuliwapora jamaa...am grand Chelsi aliwatolea nje na kutuchagua sisi.
anastahili kabisa kua mchezaji bora EPL na tukibeba UCL naona Ballon ikimmyemelea...
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?Klopp ni kocha bora duniani
Unamfukuza kocha bora umchukue nani?
Mkuu Chuga huo ni utabiri chini ya Klopp hatashinda lolote?, muda utasema..hilo halina mjadala pia japo dalili zinaonyesha tuedamo ni kuzuri tu..Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..
VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..
Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
kwanza ni kuhakikisha wachezaji wetu bora wanabakia kwenye timu hawatauzwo..Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..Mkuu Chuga huo ni utabiri chini ya Klopp hatashinda lolote?, muda utasema..hilo halina mjadala pia japo dalili zinaonyesha tuedamo ni kuzuri tu..
VVD sio straika ndugu hivyo bacline za timu zingine zikiwa hovyo yeye hazimhusu, ungesema timu nyingi zina mastraika butu hivyo yeye amepeta kwa hilo angalau japo sio kweli kwa vile amekutana na timu pia za nje ya Uingereza na timu ya taifa na anafanya vizuri...kuitwa beki bora kwa sasa Ulaya hawajampedelea ndugu ndio ukweli..
VVD mtajilaumu sana kumkosa ndugu..
Mzee baba mpira hauchezwi kwa matumaini.Maisha yataendelea kama kawaida.
Tutakumbushana upsets zilizosababisha, ligi ikianza tutaanza upya tena kuwa na matumaini.
Mbona hueleweki mara vvd anabebwa na defence line ya timu nyingine kuwa mbovuSioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..
VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..
Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
Mzee baba mpira hauchezwi kwa matumaini.
Liverpool not ready to win the title - David Moyes.
Mkuu Rodgers alishinda Carabao wapi?mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..
Ata Rahim sterling akuona kipya kitachakoendelea apo Liverpool, Coutihno Naye ivyo ivyo ..kwa Suarez nako tena ivyo ivyo. VVD au Mane au Salah watafute timu zingine ..uko akili zao zinaeza badilika ..
we tangu lini ukaitakia liver mema yani badala ya kupeleka huu ushauri kwenye timu yako pendwa chelshit unajipendekeza kwa adui yako kwani liver isipochukua kombe lolote kwako sio furaha?mnafiki bhana!kazi yake kujipendekeza tu.mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..
Ata Rahim sterling akuona kipya kitachakoendelea apo Liverpool, Coutihno Naye ivyo ivyo ..kwa Suarez nako tena ivyo ivyo. VVD au Mane au Salah watafute timu zingine ..uko akili zao zinaeza badilika ..