Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Watasambaa kwa lazima Leo,an uzuri bado zitabaki mechi tatu so lolote fresh tu.ILA BADO HAITOI MACHUNGU YA KUIOMBEA MEMA MAN UTD MAANA NAJIONA MSALITI.SIJAWAHI KUWAZA KUWA KUNA SIKU NTAIOMBEA MAN UNTD DROO..MAANA NIKISEMA USHINDI NTAUMIA ZAIDI NI BORA WADROO WASISHINDE.mbona unateseka sanaa mkuu
Kweli mpira unaweza kondesha watu
Leo man u kumpiga man city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Tatizo man u hawajitumi kabisa, hawasambai kutafuta mipira, yaani wanakeree balaa, wakicheza kama walivocheza juzi basi watapata tabu sanaa city hatawaacha


