Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hata Gary Nevile ni hivyo anasema bora waikose top 4 kuliko kuipiga Manciti na sisi tuupate ubingwa..i would rather expect Foxes to try n hurt Manciti than hawa Manure....
 
Cant blame him! We bottled it ourselves!
 
Who cares? The bitter humiliation will be when Burley or another team forces City to drop points as a result we gonna be crowned a champion, while they (Man United) handed free three points to Man City and ended to play Europa league.
They will never forgive themselves
 
Mimi sina shida na Liverpool kuchukua ubingwa. Ila naona sio wakati wenu sahihi..

Liverpool not ready to win the title - David Moyes
 
SIKU NYINGINE MECHI NYINGINE,sitaki kuweka matumaini makubwa kwa man untd ila moyo unaniambia lolote linaweza tokea, ikitokea droo ntafurahi wakipigwa Haina shida japo itaniuma ila bado ntaendelea kuwa na imani chanya mpaka siku Manchester city akimruka Leicester...
KINACHONIUMA MOYONI NI KWA MARA YA KWANZA TOKEA NIANZE KUJUA NA KUSHABIKIA MPIRA LEO ITABID NIISHABIKIE MAN UNTD..YAANI TOKEA USIKU SIJALALA VIZUR KWA SABABU HIYO .
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona unateseka sanaa mkuu


Kweli mpira unaweza kondesha watu

Leo man u kumpiga man city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano


Tatizo man u hawajitumi kabisa, hawasambai kutafuta mipira, yaani wanakeree balaa, wakicheza kama walivocheza juzi basi watapata tabu sanaa city hatawaacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…