....on the flip (brighter) side, it's depiction of the passion that runs through the team - a recipe for being champions. which's cool!Hii itakuja kutucost.. Ubinafsi ukianza at this stage of the season kila mtu anataka kuonekana the realest HERO
We got sterling on form.
Unajua kwa kikosi hiki cha sasa. Mnaelewana sana. Wacha aende zake madrid,
poleni sana ni ngumu kumwelewa huku ukiungulia kipigoAmeongea mautumbo gani sasa uyo?
unless Madrid wavuje benki huyu Mane Money tunae sana tu hapa Anfield...boy is happy na ndio mchezaji wa kwanza ghali kununuliwa na Klopp hivyo anajua Klopp anamdhamini kiasi gani..We got sterling on form.
Unajua kwa kikosi hiki cha sasa. Mnaelewana sana. Wacha aende zake madrid,
Chukueni EPL, UEFA anachukua Messi 10 kwa njia yoyote ile.Lfc tupo vizuri kama kenyaa...epl 100% ni lazima kuichukua +UCL kuna mashabi mamluki wa man u na team zingine watakandia ila ukwel ndo huo belive or not we gonna wine the epl+ucl
Chukueni EPL, UEFA anachukua Messi 10 kwa njia yoyote ile.
Mkuu unachukuliaje tukio la Milner kumnyima King kupiga ile Penalty?Mungu tuepushe na laana hii ya Kumaliza Ligi na 95+ points bila ya Kombe.
kwenye mechi hizi unapoongoza goli mmoja ukapata penalty funga goli moja linarudi wakati wowote, ikipatikana nyingine apewe ajiongezee magoli,milner akiwepo kumpa Salah penalty ni kubahatisha he is never good penalty shooter bora hendo 100xMkuu unachukuliaje tukio la Milner kumnyima King kupiga ile Penalty?
Okey! Nimekusoma mtanikwenye mechi hizi unapoongoza goli mmoja ukapata penalty funga goli moja linarudi wakati wowote, ikipatikana nyingine apewe ajiongezee magoli,milner akiwepo kumpa Salah penalty ni kubahatisha he is never good penalty shooter bora hendo 100x
Egypyian King alimpa milner mpira kwa unyongeSijawahi kumwamini Salah kwenye penati maana lazima itokee rebound
unless Madrid wavuje benki huyu Mane Money tunae sana tu hapa Anfield...boy is happy na ndio mchezaji wa kwanza ghali kununuliwa na Klopp hivyo anajua Klopp anamdhamini kiasi gani..
sasa endapo tutaambulia angalau makombe mawili au hata moja tuliyobaki kushindania basi naamini Mane haendi kokote na vile vile yupo kwenye mipango ya Klopp endelevu...
Sterling bana japo mlitoa pound za kutosha ukweli no kwamba that was peanut maana amekua moto balaaaaa...
Mkuu unachukuliaje tukio la Milner kumnyima King kupiga ile Penalty?
KAMATI YA ROHO MBAYA TUPO KAZINI, liver hachukui kombe la EPL.
Tunajua kiongozi
Hata haihitaji kuundiwa kamati