Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Forgive me man but I've to lough at you ha ha ha ha ha
Haaaaa queen ngwaba mambo yameenda msege mnenge. Mpira hauchezwi kwenye vidole, unajua kuchekesha watu kweliCIT 1 - 1 TOT will be good
Hahahaha Yule jamaa wako aliyeweka avatar ya fabinho anarahisisha kweli mpiraTulishaharibu huko nyuma mara nyingi zaidi...!
Kwa hiyo inabidi tugeuke wachawi tu.
Ila City anapiga mpira mkubwa sana leo.
#KILAMTUASHINDEMECHIZAKEhawa cardiff inabidi tuwe na tahadhari kubwa sana kumbukeni kocha wao alisema cardiff wataamua nani awe bingwa kati ya liverpool na mancity sasa kama walishindwa kumfunga city itakuwa wamejiandaa zaidi ili kutuharibia sisi ili kutimiza ahadi yao kuamua nani atakuwa bingwa
I don't believe youSpurs will snatch a point today. Believe me
Kila siku wimbo ule ule tu 😀😀Leicester and West Ham games will Haunt us forever
Believe in God not in human beingsI don't believe you
Haaswaaaa
Na City akija OT tunamfungia point tatu zake tunamsindikiza kwake. Ndio ujirani mwema huo.[emoji23][emoji23]
Ili mradi Kuna mechi nne mbele sikati tamaaa,Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea na nyie mnaojidai kutuletea shobo humu mtatulia...