Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aliyovaa Allison nimeielewa.
Alisson Becker will wear the No.1 shirt for Liverpool for the 2019-20 season.

Revealed as part of the launch of the Reds’ New Balance home kit for the next campaign on Thursday morning, the goalkeeper is set to switch from his current No.13 to No.1 at the beginning of 2019-20.

 
Hahahahaaaaaa
 
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno

Barca tunapiga mpaka anachakaa

Our biggest threats walikua manure, man city na totts

Hawa wengine jiandae kutusifia
will be a very tough game man.

kama tukiruhusu goli zaidi ya *mbili* bila ya away goal at Camp Nou, then "tie" inaweza kuishia kule kule.

we have VVD, but huwa tuna-concede a lot of chances kila tunapokutana na teams zenye good attacking players..

and kwa "tie" kuanzia kule, inakuwa ngumu zaidi kwasababu Klopp will want to play for a draw ili kuja kumalizia "tie" at Anfield, hence ata-field his negative oriented Mid, (kama ile iliyoanza jana (Faby/Gini/Milner au *Brexit* Midfield)

Messi anaweza hata asiwe kwenye ubora wake, but you've got Coutinho and Suarez ambao watataka ku-prove something against us.

Hii "tie" ukiingalia kwa jicho la tatu, ina vitu vingi sana ambavyo vinaleta ugumu mkubwa sana.
 
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno

Barca tunapiga mpaka anachakaa

Our biggest threats walikua manure, man city na totts

Hawa wengine jiandae kutusifia
Tatizo lake ni nini? 😂😂😂
 
mido la faby, gini na hendo will be used on away game.... tukikata umeme mchezo umekwisha... barca is messi, suffocate Messi you are done (unless dembele aanze)

Their defense is slow, and one thing for sure, despite beating manure, barca we not convincing

suarez is slower and cou cant survive physical game, viatu viwili chap-chap anakaa
 
Ilikuwa ugomvi wao wakapigana na fimbo ya golf
he was celebrating his goal at Camp Nou, ilikuwa ni game ya mtoano (round of 16), tulishinda goli mbili ile game (2009)

ile bust-up ya Craig na Riise ilitokea kwenye camp ya mazoezi, hahahaha

but, funny enough wote wawili ndiyo walifunga yale magoli at Camp Nou
 
Sidhani kama ilikuwa mwaka huo ulioandika
 
Natamani ningeongelea hii game ila i think right now tunge focus kwa Cardiff na Huddersfield.

Every game is a final for us now. A maximum of 6+1 (possible) games and we'll be talking languages in here.

One at a time.

YNWA
 

Duh, yaani sijui mimi nawaza nini, ila Keita kumweka benchi ni kujitafutia makuu.

Tuna backline nzuri, Fabinho ni best DM, kwa nini tuongeze mizigo ya kukaba tena?

Hii game ni ya kutafuta magoli kule kule kwao, so Keita ni muhimu acheze.

Hata uweke DM 5, Barca huwezi kuwakaba, muhimu ni kuwa outscore.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…