Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,565
[emoji23][emoji23]Cc: KING NGWABA,MOSDEF,CAPT & CO.. mmeanza kuniudhi huku kuandika kwenu post kwa kiswahili matokeo Yake watoto wa mtogole wasiojua mpira Zaid ya vigodoro mnawajaza humu,rudin kwenye lugha tu malkia muone tunavyokuwa shwari na wachache..
NASEMA HIVI KWA HII BARCELONA ILIYOBONDWA ZAIDI YA MARA MBILI TATU KWENYE LIGI YAO,ASUBUH NA MAPEMA WANALIVERPOOL TUNAWEKA MPIRA KATI..UWEZO WA SUAREZ(MWANETU),COUTHINO SIO WA KUPAMBANA NA DAMU ZA MOTO VVD&CO,!!!MESSI HAKUNA ANAEBISHA BADO MPIRA UMO ILA SIDHANI KAMA ATACHEZA PEKE YAKE MECHI ZOTE MBILI..MAN NI DHAIFU TENA DHAIFU KWELI KWELI..HUWEZI MUEKEA MESS BEKI SMALLING,JONES SIJUI FRED HALAFU UTEGEMEE MATOKEO...INAWEZEKANA SUAREZ ATASAAFU SOKA MAANA NAONA KABISA ATANG'ATA MTU SIKU HIYO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Barça hatuna presha mkuu nyinyi ndio mmepanic na viungo uchwara wenuMbona mmepanic
Unapigwa nou camp na anfeild vile vile hao hakuna nyumbani wala ugenini wanaupiga mwingi tuGood win
Kuanzia Nou camp bonge la advantage final is ours
Siipendi VAR ila Jana against city, hahaaa iendelee kutumika
Still upepo upo kwetu Klopp akichanga karata vizuri PL & UEFA zinatua Anfield
Muda ukifika ndio utaamua,tusipoteze muda kubishana humuLiver hana ubavu wa kuifunga barcelona, PERIOD.
Tuache hizi ndoto za ajabu ajabu kuwa liver atamfunga na kumtoa barca. Safari ya liver imefika tamati. Wanapigwa nje na ndani.
No AJAX player?Ranked! The 5 best centre-backs in the world
5. AYMERIC LAPORTE (MANCHESTER CITY)
4. SERGIO RAMOS (REAL MADRID)
3. KALIDOU KOULIBALY (NAPOLI)
2. RAPHAEL VARANE (REAL MADRID)
1. VIRGIL VAN DIJK (LIVERPOOL)
FOURFOURTWO.COM
Unapigwa nou camp na anfeild vile vile hao hakuna nyumbani wala ugenini wanaupiga mwingi tu
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia technoUnapigwa nou camp na anfeild vile vile hao hakuna nyumbani wala ugenini wanaupiga mwingi tu
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Hii tunamtoa barca pale anfieldBora tulivyo anzia ugenini.
Huenda ikiwa ulichoandika ni kweli...ila umeandika ki-Man U zaidi yani full dharauTatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno
Barca tunapiga mpaka anachakaa
Our biggest threats walikua manure, man city na totts
Hawa wengine jiandae kutusifia
NB need to bounce man..Vipi kops unazipa ngapi ya ngapi?View attachment 1074809View attachment 1074810View attachment 1074811View attachment 1074812
Uzi mpya huo wa 2019/2020View attachment 1074790View attachment 1074796
Uzi mpya huo wa 2019/2020View attachment 1074790View attachment 1074796
ConfirmedFirst leg - Camp Nou (April 30 / May 1)
Second leg - Anfield (May 7/8)
Times and dates confirmed on Thursday.
Hata mimi nimeielewa sanaAliyovaa Allison nimeielewa.
NB need to bounce man..
Hope the Nike deal is going well behind the scenes.
NB really sucks, only liked their 2017/18 kits.