interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
muda utasema hawa dawa yao tunayo watatafutana na mabeki wao wa kuungaunga..
EPL nyepesi sana sema City anaujua mpira na pia anajua kupanga matokeo nnje ya uwanja.asante sana klopp pamoja na squad yako yote kwa kutufikisha semi final uefa champion league ila tunakuomba uje na philosophy sahihi ya kumtoa barca ili uidhihirishie dunia kuwa epl ndio ligi ngumu kuliko zote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
cjui kwanini fans wanaichukulia pouwa barcaWatu wanai-underate Barca.
Lini Barca atakutana na Liverpool ili tutunze hii kumbukumbu yako Chifu[emoji848]
asante sana klopp pamoja na squad yako yote kwa kutufikisha semi final uefa champion league ila tunakuomba uje na philosophy sahihi ya kumtoa barca ili uidhihirishie dunia kuwa epl ndio ligi ngumu kuliko zote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ujinga wa Tottenham kupigwa goli la 5 bado dkk 2 linakupa picha ipi City atapokutana na Ajax Chifu[emoji848]Unajua wao watakuja na bonge la confidence, halafu pressure kwao siyo kubwa kama City.
Ila City atapiga piga goli nyingi EPL, maana atakuwa na hasira.
Man u hatuna mpango wa kumfunga City, hana madhara (quadruple effect) kwa sasa.wote wakimpiga Citi EPL tutashukuru, huku sisi tukishinda mechi zetu zilizobaki.
mkuu hebu kuwa systematic upstairs hivi ni kweli tot kapigwa goli la 5?Hivi ujinga wa Tottenham kupigwa goli la 5 bado dkk 2 linakupa picha ipi City atapokutana na Ajax Chifu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u hatuna mpango wa kumfunga City, hana madhara (quadruple effect) kwa sasa.
Tunamfungaje wakati ndio anazuia nyinyi msichukue epl.
Sent using simu mbovu
Unaongelea goli lipi mkuu?Hivi ujinga wa Tottenham kupigwa goli la 5 bado dkk 2 linakupa picha ipi City atapokutana na Ajax Chifu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
muda ukifika atajulikana nani kidume...
Ndiyo kapigwa hadi mi nikanyanyuka kwenye kiti kurudi home kabla ya mpira kuisha maana naona Tottenham hawana beki kwa kufungwa magoli ya kijinga kijinga kama vile netball[emoji26]mkuu hebu kuwa systematic upstairs hivi ni kweli tot kapigwa goli la 5?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtukana mamba kabla hujavuka mto eeh! Subiri kudhani una uwezo mkuuuuuubwa!!mambo mengi ila muda mchache .......hongereni kwa hatua mliyofikia mimi nataka kombe lije england sasa kwa kutolewa kwa city kwakweli naona waziwazi nyinyi ndio mna uwezo wa kulibeba hawa spurs hawaaminiki kabisa .....tupo pamoja...TUKUTANE KULE SUPERCUP nikuzabue hahahahahh heheheheheheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mara Pap Spurs akampige tena Jmosi...usije shangaa Citi huyu akapigwe na Mbwa Mwitu au katoka draw na nyinyi...Man u hatuna mpango wa kumfunga City, hana madhara (quadruple effect) kwa sasa.
Tunamfungaje wakati ndio anazuia nyinyi msichukue epl?
Ila nitawasupport kwenye UEFA ,ili dharau kwa EPL isiwepo.
Sent using simu mbovu
Kabla ya mechi ya Westham OLe alisema, " tunahitaji point 15 katika michezo 6" means mchezo wa City hatuuhesabu.Kwa jinsi man u asivotupenda anaweza kutegeza akapigwa nyingi na city
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea goli lipi mkuu?