Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Amazing performance from the lads

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sentensi ya mwisho utafikiri sijawahi kukufunga Anfield. Isokey nimeiona Anfield


Disgusting behavior from Fabinho. Tell me what was he doing.?View attachment 1071852

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenifunga msimu huu Carabao hivyo msimu huu naweza sema "we are equal" ...umenifunga moja tukadraw moja nakakufunga moja...pole sana najua haya ya jana hamkutegemea...nilivyona Sarri kawaingiza "watoto" Odoi na Cheek nikajua ametupa ushindi...

Anfield si mahala pa kuja kujaribu mifumo na wachezaji...kocha wako kawanyima pointi...
 
tumewazima kusema kusema sana hawa jamaa maana walijiapisha kutupiga ili watuvurugie kuchukua ubingwa sasa ni Big 4 sioni wakiingia kwa msimu wa pili mfululizo na itakua mara ya kwanza tangu aingie bilionea mrusi kucheza futuhi...
Hahaaaaaaaaaa hatupendwi sana na jana walidhani wamekuja kudroo,but tha aggressive and determination ya vijana ilikuwa kubw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaaaaaa hatupendwi sana na jana walidhani wamekuja kudroo,but tha aggressive and determination ya vijana ilikuwa kubw

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa wale wasiopenda tuchukue ubingwa msimu huu waliwekeza zaidi gemu hii ya jana aidha tuta draw au tupigwa but Klopp n th boys walikua wamejipanga kuhakikisha pointi zote zinabaki nyumbani...

mashabiki nao Anfield na kwingineko hawakia nyuma kuhakikisha ni ushindi na kurudi kileleni mwa ligi...
 
Hahaha kwa kweli lile goli litakua kwenye listi ya magoli bora EPL msimu huu..na ndogo anatetea kiatu chake cha ufungaji bora UK kwa msimu wa pili mfululizo ni jambo njema sana kwetu huyu ndogo makali yamerudi wakati mwafaka..
Mo Salah th King.
 
Mmemaliza game zenu tafu zote, sasa hivi mnateleza tu, kuna kati ya man u au tot atamzuia city, au wote

Yohana 3:16
hapa sasa upo uwezekano tukapambana mazima mpaka UCL maaba kwa gemu zilizobaki EPL ni manageable kabisa...

Spurs bila Kane hua wana balance sana hata mechi nyingi wameshinda bila kua nae, pazuri ni pale Spurs Big 4 anaihitaji sana tu hivyo Jmosi mechi dhidi ya Citi itakua hakuna kuachiana ni kazi kazi tu...itakua poa Spurs wawatoe hawa Citi Ucl hapo tu watakua wamepita pigo safi kabisa na moja ya malengo yao yanazimika

Manure bana hua hawaeleki ni kama kuna ka upepo hupita wa switch on na ku switch off maana mechi 3 zilizopita ni tia maji tia maji...mechi yao dhidi ya Citi inategemea siku hio kama wataamua kucheza au ku switch off...ngoja Barca awapige watakaa sawa tu.
 
Think Klopp ameshamuamini Fabinho kwa Big games Coz against Bayern, Spurs and last night against Chelsea ameperform well.
Now its crazy kumuweka bench katika big games wakati Jana amewafanya Kante na Joginho kuwa Wazururaji.
 
That is a great achievement kabisa,Kops tumefanya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Think Klopp ameshamuamini Fabinho kwa Big games Coz against Bayern, Spurs and last night against Chelsea ameperform well.
Now its crazy kumuweka bench katika big games wakati Jana amewafanya Kante na Joginho kuwa Wazururaji.
uzuri Klopp haji JF maana ungeshangaa next game Lallana huyoo na Fabo benchi...

sijui ni Klopp au eti ni Hendo alimuomba kocha acheze mbele zaidi kwa vile sasa tuna mkata umeme wa uhakika aka Fabi..

ki vyovyote Fabi is damn gooood..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…