Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Oh no!
Hendo yuko vizuri now days hasa kwenye izo reboundtoa Hendo weka Origi wing left, Mane aje pale kati, rudisha Firmino acheze kama 8.
Fact kabisaTafadhali lugha ziwe za heshima!
Ni jambo baya kuja na kauli kama hizo kwa jamii ya Liverpool HALISI iliyo staarabika sana
Kuwa na moyo nako ni kizurNina imani kubwa baada ya dakika hizi 45!
Nadhani tutashinda hii
Nilisema mchana huyu jamaa mechi hizi huwa ni kichekeshoSalah is comedian at this First half.. Lets wait Second Half to what he will do
naona anarukaruka tu leo ..Hendo yuko vizuri now days hasa kwenye izo rebound
Game ngumu kutokata na plan waliyoingia nayo chelsi ila ni muda tutawafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema mchana huyu jamaa mechi hizi huwa ni kichekesho
Good observations,update nzuri hii kwa leoTunacheza mpira wa kukimbia kimbia bila mipango tupo tupo tu
Naunga mkono hojaLiverpool nawapongeza mmeahambulia na kuongoza Kila kitu. Ila sisi tumewazidi akili.
Ngoja tuone second half itakuaje. Ili mbebe kombe hili inabidi mtufunge lasivyo kombe la Epl mtaisikia kwenye redio tu.
I hope second half Hazard anarudi kwenye nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini tena mkuu mbn sara ana magoli meng kulilo origi, tusubr 2nd hlf tuoneSalah amuachie nafas origi aise
13SEPTEMBER