Happy he got his first goal yesterday , but he still needs more time to settle in looking at his performance yesterday .Who is happy For our boy Naby Keita????
Let me see your hands fellas!!!!!
Over-taking my boy Torres.
The king Salah.
Mimi binafsi nampenda sana Keita na siku zote nasema kwanini hapangwi mwanzo ila jana nimeona kitu pamoja na kwamba kafunga na kucheza sio vibaya ila kuna sehemu ya game yake inabidi afanye kazi kwa kweli. kama kiungo kapoteza mipira kama mitatu sehemu mbaya ukipata mtu kama Hazard anakudhibu. kijana mzuri hii ndio sehemu kidogo inamuangusha najuwa speed ya EPL ila na imani ata improve ni good asset.Who is happy For our boy Naby Keita????
Let me see your hands fellas!!!!!
True kabisa lazima alinde mpira kapoteza mipira sehemu mbaya sana kama Hazard anakumalizaHappy he got his first goal yesterday , but he still needs more time to settle in looking at his performance yesterday .
Sent using Jamii Forums mobile app
I just pray that by the time we play our last game vs Wolves we're at least 4 points clear at the top of the pile.City ana tight schedule ukilinganisha na sisi:-
Key games:
Crystal Palace (Away)
Tottenham (Home)
Man Utd (Away)
Leicester (Home).
Hapo ana atleast droo 2, so ni 4 points losing.
Kama tukishinda game ya Chelsea, tutakuwa tumejiweksa kwenye position nzuri sana.
I just pray that by the time we play our last game vs Wolves we're at least 4 points clear at the top of the pile.
ninawaogopa zaidi Wolves kuliko Chelsea aisee. wale watoto can hurt us oh!!
True kabisa lazima alinde mpira kapoteza mipira sehemu mbaya sana kama Hazard anakumaliza
Mungu/Allah awezi kusikia na kujibu maombi yanayohusiana na mpira..
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?
Kumbuka penye wengi lazima mtofautiane, na mkitofautiana haina maana nyie sio washabiki wa Liverpool
Mungu/Allah awezi kusikia na kujibu maombi yanayohusiana na mpira..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uo ubwabwa utaambulia kesho baada kipigo cha Everton...mmeamua kuninyima ubwabwa wa msiba wacha niende nyumba ya 5 (chelsea) pengine ntaambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshinde hiyo mech...ni muhimu sana mshinde ili muwe vizur. Yan chelsea cyo wa kuwapa presha nyie
Sio suala ana goal ngapi mechi ijayo tunakutana na Chelsea halafu Keita afanye aliyofanya jana karibia na goal kupoteza maana inaweza isiwe Hazard kuna yule mtoto Odoi mpe tu mpira halafu tutasimuliana baadae.Hazard ana goli ngapi?
Dah bola umeligundua hilo amekosea kutuhusisha.aje ajibu kama kweli ni muungwanaKuwa specific bosi, ni wangapi unao washangaa?
Ni wangapi unaweza kuonesha hapa wameandika au kumsapoti aliyeandika?
Ni wangapi umeona wakitofautiana kwa kuambiana kauli za hivyo?
Next match majogoo tunawaombea ,mpo na chelshit, kwakuwa mnautaka ubingwa hamna budi mumgonge za kutosha, aache kujipendekeza top 4,
Nitafurahi wakienda futuhi wao na manyua,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Also the lack of praise for matip is disgusting , the guy makes van dijk look like Titus bramble on the ball . Every time he creates a chance the commentators credit van dijk for it , weird
That would be funny , if two coaches are in the final have no clue about tactics .
Sent using Jamii Forums mobile app