Mkuu ntakuunga mkono kwa nguvu zote Kama itatokea huyo mtu akaja,sijawahi kutukana humu ila ntatukana Leo.Ila tuacheni masihara klopp anazingua sana na mido zake Hizo za ki British.
Halafu kuna fala mmoja anakujaga hapa na ule upumbavu wake na Leo aje nao tena hata kama tukishinda.
Mimi muda wa kujibizana naye ninao leo
Sent using Jamii Forums mobile app
kama kupigwa ni kuzuri wakupige wewe kwanza wivu tu unakusumbua pumbaf sanaaa
hicho cha Citi kuchapwa na Utd kitakua faraja kwetu.Man U huwa anababatiza, City anaweza chapwa na United. Mechi kubwa United si wa ku-undermine aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wafia team hawajajifuza leo kuwa that Brexit Midfield will never win us any title, then sijui watakuja kujifunza lini.
Sasa wewe naona furaha imeyumbisha dishi halikamati ipasavyo au unaongelea Mbeya city ?Ya city tumuachie city
Sisi tushinde tu kwanza
Spurs anaweza ipiga city naamini hivyo(ADUI YAKO MUOMBEE KISONONO)
13SEPTEMBER
Ila tuacheni masihara klopp anazingua sana na mido zake Hizo za ki British.
Halafu kuna fala mmoja anakujaga hapa na ule upumbavu wake na Leo aje nao tena hata kama tukishinda.
Mimi muda wa kujibizana naye ninao leo
Sent using Jamii Forums mobile app


Tulia kama unanyolewaSasa wewe naona furaha imeyumbisha dishi halikamati ipasavyo au unaongelea Mbeya city ?
Sent using Jamii Forums mobile app