Usikate tamaa Chief...Titles race it's over
Ligi bado mbichi kama anayeongoza angekuwa Arsenal ningekukubaliaUsikate tamaa Chief...
Ligi bado mbichi sana kwa timu zilizo top 5..!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bora ujinyamazie tu tuugulie ndani kwa ndani basi.Ila tuacheni masihara klopp anazingua sana na mido zake Hizo za ki British.
Halafu kuna fala mmoja anakujaga hapa na ule upumbavu wake na Leo aje nao tena hata kama tukishinda.
Mimi muda wa kujibizana naye ninao leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utaje timu nyingine. Hawa peremende unakua mteremko kwetu.kwa kutegemea Hazard pekee ndio mbebe Europa...ningependa fainali ukutane na Ganaz
Hii HAIKUSAIDII lolote kaka zaidi ya kukuvunjia heshima!
Sawa