Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Tuombe mungu mkuu,ila swala la city kuwa na mechi tatu mfululizo na tothnm linanipa nguvu kidogo sidhani Kama atampiga zote ucl na epl..ila muda ndio hakimuni sawa Pep baada ya kile kipigo gemu ya Newcastle naona jamaa alikimbilia kanisani kutuombea mambaya..
mpira ndivyo ulivyo huwezi sema Citi ashinde zote na sisi tushinde zote aafu tutegemee kua mabingwa..
hapa ni kwanza tushinde mechi zetu zote hope that is damn possible aafu Citi akipoteza tutashukuru zaidi hivyo maombi yetu yatakua yamesikika...
tuwekeze zaidi kushinda gemu zote aafu ndio la Citu kupoteza...hizi gemu za Vs Spurs, Chelsi na Southmpton si salama sana bt am positive we il come on top..
na hio Manu wakicheza na Citi kama walivyocheza jana basi sahau kua Manu atashinda maana watakula kabang ya wiki.
hapo tupo sawa...Pep huyu baada ya sisi kupoteza pointi za kutosha na hatimae Citi kutupiku atafia uwanjani vs Manu.
Tot kushinda Leo ni ngumu, kaangalie hata muhind kaona isiwe shida kamuweka tot as underdogWee pambaña ushike nafasi ya tatu maana Europa sisi tunachukua..
Japo leo spurs atashinda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, man city atapoteza au kudrop point kwa timu hizi za midtable ila sikwahawa top 6 kama man u, Chelsea na arsenal,na hio Manu wakicheza na Citi kama walivyocheza jana basi sahau kua Manu atashinda maana watakula kabang ya wiki.
Kwa man u hii , niliyoiona Jana tena ikiwa full mkoko OT, man city ataipitia kama upepoHiyo mechi itakuwa bonge la patashika maana Man U anapigania kuingia Top four halafu Cityzens hiyo mechi ni muhimu mno ili kuchukua ubingwa
Kabisa ni ndoto, tena man u awe makin sana , yasije kumkuta ya Chelsea, Bora mou alikuwa anazuia sana , ila hii kujifanya na wao wanataka kuchezea mpira , kitawakuta kilichowapata Chelsea ,Man u kumgunga city ni ndoto ya Pierre liquid kuwa mkuu wa wilaya
Wakuu game ya Liverpool saa ngapi?
Kwa man u hii , niliyoiona Jana tena ikiwa full mkoko OT, man city ataipitia kama upepo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
ndio hivyo hizi mechi Spurs lazima akomae angalau ashnde moja lol ingekua poa hio mechi washinde ni ya EPL.Tuombe mungu mkuu,ila swala la city kuwa na mechi tatu mfululizo na tothnm linanipa nguvu kidogo sidhani Kama atampiga zote ucl na epl..ila muda ndio hakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
duu naona Cardif wamekupiga kamoja...game onWee pambaña ushike nafasi ya tatu maana Europa sisi tunachukua..
Japo leo spurs atashinda..
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hii Manu usishangae kabisa ikitokea hivyo...Ahhahahahah
Itakuwa bonge la kituko kupigwa Derby nje ndani
Hii ndo anayo iyamini ngoja tuone mwisho wa mchezo