Let us wait and seeHello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Let us wait and see
90' talk
13SEPTEMBER
Itapendeza ikiwa hivyo..... na maombi yetu yanahitajikaMchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)
#YNWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)
#YNWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema mkaifikiria game yenu ya kesho wakuu..!Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Haaaaaa wacha weee shughuli imeshaanza huko.Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Haaaaa kwa kweli soma hiyooooMchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)
#YNWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
na anawashangaza kweli. Tehteh tehtehHata uwe mdogo vipi huwezi kukubali kufungwa mechi 2 mfululizo nyumbani kwako.
Kijana wetu Babel ataenda kutushangaza #YNWA
Hahaaaa badala uwafikilie kina kane, son watakavo wafanya kesho, unamwombea njaa gardiolaHello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Kwa sasa atupigi ramli ..ni tunangalia tu upepo unaelekea wap ..kwa sasa ukicheki looserfool ni kama inapoteza mwelelekeo ivi..Mimi nilifikiri umeshaacha mambo ya ramli kumbe bado tu
Sisi tutabeba Europa tena ..wewe upo ueropa misimu zaid ya minne na hukubeba hata moja..na wasiswasi na wewe kungia BIG FOUR msimu huu na itakua msimu wa pili mfululizo mpo Futuhi..
Shinda ya kucheza Futuhi ni kama ina nuksi ikikupenda imekupenda kila ukipambana unashangaa nafasi ni ile ile ya 6..
Sisi looserfool tunaijua vizuri wala haitupi shida yeyote ..Hahaaaa badala uwafikilie kina kane, son watakavo wafanya kesho, unamwombea njaa gardiola
Kashapigwa 2-0 fulham hawezi lolote kwa city,
Mwaka huu hamtapata kombe lolote kwa style hii...
Sent using Jamii Forums mobile app
Utachezea nyingi sana ..ushindi wa losefool utakuwa draw..Hawa spurs nawatamani sana
Historia yenu tunayo mnaongozaga ligi ila ikifika kipind kama hiki mnarudi chini mpaka top 4 mnaanza kuitafuta kwa manati hahaaaaaaSisi looserfool tunaijua vizuri wala haitupi shida yeyote ..
Historia huwa haitudanganyi kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)
#YNWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapa mliteleza kidogo,vipi kuhusu kesho..!?Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Ni miujiza tu ndio itasababisha tunyanyue kwapa. Sioni ni kwa namna gani itawezekana. Tuendelee kuwatia pressure mpaka mwisho.Baada ya Kuwa kimya kwa Majuma Karibia Mawili kutokana na Kuwa Mimi si Mshabiki Wa Timu Za Taifa, leo nimeamua kurejea Kwenye Uzi huu Na Nimekuta kuwa ile kauli ya Man City Atadrop Points" inaendelea kuwamisslead washabiki wenzangu wengi tu.
Wakuu haya ni Mawazo yangu:
√ Liverpool yupo katika uwezekano mkubwa zaidi wa kudrop more points kuliko Man City.
√ Ubingwa unapatikana kwa Kushinda Mochezo yako na si kusubiri Man City adrop points.
Ni miujiza tu ndio itasababisha tunyanyue kwapa. Sioni ni kwa namna gani itawezekana. Tuendelee kuwatia pressure mpaka mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app