Bro king ngwaba kwema?? I really respect your squad.. Ila kuna baadhi ya vitu klopp naona kama hayuko sahihi kwa mawazo yangu madogo..refer game yenu na city mnafungwa..
Kati aliwachezesha wijd,hender,milner na most of the time klopp alikua anamlalamikia milner kuhusu ku supply mipira.. Akamuingiza fabinho,,kiukwel mlibadilika mnoo.. Pia game ya juzi na bayern akafanya vile vile ila nlifurahi sana Henderson alivyoumia na fabinho kupata nafasi really the guy is good and smart.. Sasa swali ni kwanini anamuanzishaga nje game muhimu wakati 1st leg alikaa mkoba akacheza safi tuu??
Pia nmekua nkifatilia sana game zenu bro shaqiri is good alijitaidi kumuingiza kwenye mfumo alikua anapiga pass nzuri ana pressurize opponent vizuri tuu baadae akampotezea.. Juzi nlikua nachek discussion moja supersport walikua wanauliza sana swala la shaqiri ili apate kupanua kikosi chake vizuri kama mshindani wako(city) jinsi alivyokua na kikosi kipana.. Hayo ni mawazo yangu tuu..kila la kheri naamini mtasonga mbele kwa porto.. Na goodluck kwenye EPL
Sent using
Jamii Forums mobile app