Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu uliopita mlifika fainali 8la naona mnaanza kurudi nyuma. Raundi hii nusu fainali mmejitahidi sana.
 
Nusu fainali ni Man U na Fc Porto.
Vipi kiongozi naona kibao kimegeuka kwako?

Ulikuwa ukitupangia Barcelona usiku na Mchana hatimae kakudondokea wewe.

Sasa mtoe Barca ili tukutane kwenye semi.

Lakini Barca akikutoa basi tutamsubiri yeye kwenye semi halafu aje atuingizie Coutinho aone mziki wetu.
 
Nafuatilia sana comments za mashabiki wenzangu wa Liver... nabaki nacheka na kujaribu kuifanya hii timu yetu kama nchi ya Tanzania
Livepool = Tanzania
Klop = Magufuli

Sasa hapa kuna CDM na CCM

Chochote akifanyacho MaguKlop, CDM Liver wanapinga hata kiwe cha nia njema. Upande wa CCM Liver wao wanaunga mkono lolote alifanyalo bwana mkubwa.... hata akiboronga...

Nimeamua kufikia conclusion: Mashabiki wa Liver ni wanasiasa waliobobea.

Ila tusisahau LiverTanzania ni yetu sote. Uzalendo kwanza siasa baadae.... Maendeleo hayana chama.

We are in a "LAITI TLAKI" .... YNWA.

Baada ya kusema hayo narudi zangu kaunta kuendelea kuwasoma huku nikitiririsha grants
Unazingua babu. Chagua team moja ulaya.
Kwa maana ya kiu ya makombe. Na kwakuwa barca kayakamata sana hivi karibuni.... you know woram seyyying?
 
....yet you still claim we don't deserve the "one of the most feared sides in Europe" tag, boss??

Why should we be feared?

Barca/Juve/Utd/City would’ve a chance against us over two legs. thats why i’m so happy we did not draw them in the quorters.

People fear you kama wanajua hawana chance ya kushinda against you.

We beat city kwenye both legs last season, but still they wanted to avoid Barca the most, and not us.

IMG_1552661042.152578.jpg


Y’all just following the English media hypes na kushindwa kuangalia ukweli, we have had good compaigns kwenye CL since last season, but we havent reach kwenye stage ya kuwa the most feared club in Europe. What we did Vs Bayern, ndicho walichofanya United vs Psg and Juve Vs Atleti and both were 2 goals down, Ajax beat the defending Champions 4-1 at Spain.

We’ve been getting good and positive draws since last season, yes we had a tough draw against Bayern, but if Ajax and injury raiden Utd did it at Spain and france, kwanini LFC team yenye most expensive CB, 2nd expensive GK, 40m+ Defensive Mid, 50+ goals winger and CL finalists wa last season washindwe kufanya against an ageing and injury raiden Bayern?

We’re doing so great but lets stop overhype our team, we did this during the xmass period, and ikamfanya Klopp ahisi anaweza kushinda game yeyote ile because he thought we were feared, hence he abandoned his xmass period tactics and game approaches which ikaishia kutu-cost.

Lets not jump into medias bandwagon and put unncessary pressure kwenye team.
 
Why should we be feared?

Barca/Juve/Utd/City would’ve a chance against us over two legs. thats why i’m so happy we did not draw them in the quorters.

People fear you kama wanajua hawana chance ya kushinda against you.

We beat city kwenye both legs last season, but still they wanted to avoid Barca the most, and not us.

View attachment 1046276

Y’all just following the English media hypes na kushindwa kuangalia ukweli, we have had good compaigns kwenye CL since last season, but we havent reach kwenye stage ya kuwa the most feared club in Europe. What we did Vs Bayern, ndicho walichofanya United vs Psg and Juve Vs Atleti and both were 2 goals down, Ajax beat the defending Champions 4-1 at Spain.

We’ve been getting good and positive draws since last season, yes we had a tough draw against Bayern, but if Ajax and injury raiden Utd did at Spain and france, kwanini LFC team yenye most expensive CB, 2nd expensive GK, 40m+ Defensive Mid, 50+ goals winger and CL finalists wa last season washindwe kufanya against an ageing and injury raiden Bayern?

We’re doing si great but lets stop overhype our team, we did this during the xmass period, and ikamfanye Klopp ahisi anaweza kushinda game yeyote ile because he thought we were feared, hence abandoned his xmass period tactics and game approaches which ikaishia kutu-cost.

Lets not jump into medias bandwagon and put unncessary pressures kwenye team.
1552662111643.png
 
Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona Barca ni mwepesi tu munaweza kumkick out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom