am sure even Bayern dd thier prematch preparation using this Brexit mids in mind...Here we go again.
acha kuwanga mapema hivi
WEWE NI RIJALI HAKIKA.
Mbn mnakata tamaa tenaHii match naangalia tu sababu sina cha kufanya Sa hivi,hata tukifungwa sawa tu.
Yamekua hayo. Sis tulijiamini mkuu na kikos B chetuJamani kila la kheri, kushinda ni majaariwa.
acha kuwanga mapema hivi
kabisa this gaffer all signs reads he gets t th hard way otherwise ni ngumu kuelewa nwa utamasikia ooh i had to change th system after kuumia Keita etc...kama tutashinda hii mechi basi milner na henderson watakuwepo saaaana ila kama tutafungwa nadhani itakuwa ndo safari yao.
baada ya ile sare na sevilla 3-3 ndiyo klopp akaanza kumtumia Andy Robertson na kumweka bench Moreno.
Baada ya Karius kurudia makosa yale yale kwenye pre-season ndipo Klopp akaingia sokoni kumleta Allison.
Klopp seems to learn in hard way maana kwa kelele za kwenye mitandao hazimsumbui Klopp sawa na mtoto ukimkataza wembeee hasikii mpaka umkate kwanza ndo atasikia kama tutatoka basi our midfield will change completely.
All in all, naomba tushinde mengine tutajua huko mbele ya safari
Yamekua hayo. Sis tulijiamini mkuu na kikos B chetu
no wonder his agent sounded PSG Jan aodoke Liverpool wakasema aint interested to sell...Imagine wewe ni Fabinho unatumiwa kama Punda yani akiumia CB unapelekwa wewe ukazibe nafasi then inakuja Game muhimu kama hii unaekwa bench unadhani utajisikiaje?
Kuna tusi zito nilitaka nilitoe nilipoona hiki kikosi ila mm sio muumin wa matusi.....ila mkuu kiukweli naangalia game sababu Nina roho ngumu ila sikutegemea klopp kuanza na hiki kikosi!!Mkuu unakumbuka Nilipokuquote ukareply hivi?
Bado hujamjua Klopp lakini karibu utamjua ni nani!
Mimi nimehairisha livescore itanitosha tu.Kuna tusi zito nilitaka nilitoe nilipoona hiki kikosi ila mm sio muumin wa matusi.....ila mkuu kiukweli naangalia game sababu Nina roho ngumu ila sikutegemea klopp kuanza na hiki kikosi!!
Namuachia mungu maana nshafanya maombi yote yeye ndio muamuzi ila klopp tukitoka Leo sitomsamehe...
Twende wana reds pamoja..#YNWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapungua Emre can apoI saw it coming!! kile kile kikosi kilichoanza vs napoli ndo kimeanza leo..
ok klopp knows better, but i dont trust this guys.. because ndio kikos cha msimu uliopita., there is no new signing added in the first team today