Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaaaaaaaaaaaa aki ku-quote tena nitaamini ule utafiti wa Twaweza kati ya watanzania 5 wa Tatu ni vichaa
 
Yani miongoni kwa Siku ninazojiona kuwa katika game sina cha kupoteza basi ni leo.

Yaani nitaangalia hii game kwasababu hii timu naioenda tu lakini najihisi wazi kuwa I've nothing to lose.
 
There are many determinants. Unajua kuwa wakati Leicester anachukua EPL timu za top four hazikuwa katika ubora wao? Unaikumbuka Man U ilivyokuwa? Unakumbuka Chelsea ilimaliza nafasi ya 10? Unajua Klopp alikuwa na kikosi kibovu 2014/2015? Unajua Man City, Arsenal na Tottenham walikuwa wanapwaya?

So two reasons won Leicester the trophy.
1. Poor season for top six teams
2. Determination to succeed.

Mnaweza kuwa na determination kushinda na mkafanikiwa, but assume you meet a team that is determined at the high degree but edging you on Leadership and having winners?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Always I pose my argument kwa utulivu kabisa bila maneno ya shombo kwa sababu naamini brain yangu huwa haiendeshwi na miemko.

Ila ambacho hujui ni umuhimu wa leadership kwenye timu za mpira. Hicho ukikijua atanielewa. Unapokuwa na character za Terry, Drogba, Lampard, Peter Chec ni tofauti usipokuwa na hizo character.

You don't know how characters of players such Ryan Giggs, Fernand, Paul Scholse, were beneficial in Ferguson's era.

On my view this is what Liverpool miss.

VVD ataongeza character muhimu kwenye timu ila bado mnahitaji angalau mmoja mwenye character kama ya Terry, Ramos, Fernand, Macelo, Lewandosic, Kompany, Ronaldo au character kama ya akina Chielin.
Atakuja tu huyu kama huamini subiri!!

Hapo haangalii tena hoja bali anachoangalia kwasasa ni kuto kukubali kuwa mekosea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wetu wanajitupa uwanjani muda si mrefu
Sisi Liverpool halisi tuwa support vijana wetu bila kuombea nani aumie asicheze kama wanavyo ombea feki Liverpool
Mkiwa na Mungu hamna wa kuwashinda
 
Vijana wetu wanajitupa uwanjani muda si mrefu
Sisi Liverpool halisi tuwa support vijana wetu bila kuombea nani aumie asicheze kama wanavyo ombea feki Liverpool
Mkiwa na Mungu hamna wa kuwashinda
mr Liverpool komaa nao hao feki hawana nia njema wanataka Team ipate injuries
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…