Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mpaka sasa hivi man city kapoteza(alifungwa )mechi 4, kwenye hizo alizopoteza alicheza na crystal palace alifungwa akiwa nyumbani,alifungwa na newcastle na Leicester city.
Kwenye mechi alizobakiza city kabakiza na timu zilimfunga round ya kwanza.nimezitaja hapo.
Ndio Maana tunasema city lazima will drop point.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna tofauti kubwa Sana ukiwa namba moja na waliokuwa namba za chini yako hiyo ni kote hata kwenye maisha tu....Ikiwa ni Hivyo tulimfunga Leicester Away lakini tulishindwa kumfunga Nyumbani.
Round ya Kwanza tuliwafunga Everton, Man United na West Ham lakini Second round tumeshindwa kuzifunga timu hizo.
So, iwapo Man City yupo katika Risk ya Kudrop points, kwanini Liverpool asiwe katika position ya kudrop points?
Mimi nahisi sisi Liverpool ndiyo tupo katika risk kubwa zaidi ya kudrop points kwenye michezo iliyobakia.
Kwanza Klopp atakavuoiaproach game ya Chelsea with defensive minded basi niwazi kwenye game hii tutadrop points.
Kuna tofauti kubwa Sana ukiwa namba moja na waliokuwa namba za chini yako hiyo ni kote hata kwenye maisha tu....
Sisi tucheze defensive game wakat hatuna Cha kupoteza kweliii?!?hata dunia itamcheka klopp..
Kuanza kwa llallana kwenye gemu iliyopita ni ishara tosha hakuna kubaki baki nyuma Tena kwenye epl ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat wa game ya man mkuu tulikuwa tunaongoza ligi,game ya Bayern tulishambulia lakin kwa umaki maana Kuna goli la ugenini tuliliogopa...Kwani kwenye game ya vs Man United na Bayern Mkuu tulikuwa na cha kupoteza?
Sasa mbona tulicheza kwa Defensive Minded?
Nadhani wewe humjui Klopp! Hivi unadhani Klopp anaogopa kuchekwa kwenye maamuzi Yake?
Madrid maimu mmoja amepwaya washaajiri makocha watatu tofauti ktk msimu mmoja. Nyie naamini Klop mtampa tena muda ili aendelee kujenga timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni msimu wake wa kwanza, na target ni kwamba timu irudi champions ligue. Baada ya hapo tutajua cha kufanya.Nyie mmebadili wangapi msimu huu?
Au mmeridhika na mafanikio anayowapa kocha wenu!
Ni msimu wake wa kwanza, na target ni kwamba timu irudi champions ligue. Baada ya hapo tutajua cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao RMD imefukuza makocha wakiwa na misimu mingapi?
No Naby Keita in the LFC squad for the trip to Munich. Ruled out with a minor injury ... C&P
SawaARSENAL 2 - 0 MANURE
Hivi kweli leo Juventus atachomoka kwa wazee wa ngwasuma/Atletico Madrid?On the same response, targets alizopewa Klopp unazijua?
Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.Hivi kweli leo Juventus atachomoka kwa wazee wa ngwasuma/Atletico Madrid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Kaka, lkn mi niko kwa Sari masigara/Chelsea Chifu.Juve wana winner player kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson. are talents but can't win you a major trophy
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari kazi shila huko mkuu Semion ako na hasira na CR7 ile mbaya kamfanyia ya usiku.Hivi kweli leo Juventus atachomoka kwa wazee wa ngwasuma/Atletico Madrid?
Sent using Jamii Forums mobile app