thier come back aganist Spurs to beat them 3 was realy well worked team work rarely this below teams compete to that level bt how Nuno approaches this big games is perfect...
wanakutana na Manu FA coming weekend n whats a game il be...
at tyms i think Poch is kind of overrated infact if i were Madrid or Manu who always keep.mentiond wt Poch il.go for Nuno rather than Poch...
th only thing laking wt Nuno is th media hype that seems to always be Poch favor.
Walimnunua yule beki wao SanchezPoch is working with a very limited budget.
Kumbuka Spurs hawakufanya signings zozote zile this summer na january.
In his tenure, sidhani kama spurs imewahi kununua mchezaji wa bei ya £40m+ compared to other top 6 clubs.
Anajitahidi sana to be honest.
kabisa hii weekend Ole comes aganist his size maana wote ni upcoming managers just like toads learning to swim in th deeper high sea...Been waiting for that game man
Gonna be epic..
defintly kwa kununua wachezaji huyu jamaa hana hio luxury probably huu uwanja ukiisha may be utawapa relieve ya kuingia sokoni...Poch is working with a very limited budget.
Kumbuka Spurs hawakufanya signings zozote zile this summer na january.
In his tenure, sidhani kama spurs imewahi kununua mchezaji wa bei ya £40m+ compared to other top 6 clubs.
Anajitahidi sana to be honest.
whats goes around always come around...tuliongoza 10 points zikija 7points mpaka sasa twaongozwo sisi...Every one hopes Man Shit will drop a points but hatukupaswa kufikia katika hali hiyo ya kuwa tusubiri mpinzani wetu apoteze ili tubebe ubingwa.
Kwa sasa ilikuwa wao Man City ndiyo wa kusubiri sisi tupoteze ili yeye abebe ubingwa.
Chief hata wao walikuwa wanatuombea mabaya kipindi flani...acha na sisi tupige ramli chonganishi.Every one hopes Man Shit will drop a points but hatukupaswa kufikia katika hali hiyo ya kuwa tusubiri mpinzani wetu apoteze ili tubebe ubingwa.
Kwa sasa ilikuwa wao Man City ndiyo wa kusubiri sisi tupoteze ili yeye abebe ubingwa.
DE GEA ana saves 92 dhidi ya 62 za ALISON msimu huu,ila ALISON anaongoza kwa CS ambazo kwangu mimi sio kigezo kikubwa sana maana beki za liver ni mziki mnene ukilinganisha na united so ALISON anatembelea sana kivuli cha kina VVD kupunguza hatari nyingi zinazoelekea langoni kwakeMkuu tunazungumzia msimu huu tu sio iliyopita..kwa sasa Degea kaachwa na Allison
De gea ana save nyingi mkuu jaribu kupitia website ya premier league kaachwa mbali sana ila katika CS becker yupo juu maradufu na kwa uwepo wa ule ukuta wa chuma pale nyuma ndio hasa kinachombeba beckerUmewekewa saves rate percentage hapo juu, bado unasema De gea ana saves nyingi kuliko Alisson this season.
Be serious.
DE GEA ana saves 92 dhidi ya 62 za ALISON msimu huu,ila ALISON anaongoza kwa CS ambazo kwangu mimi sio kigezo kikubwa sana maana beki za liver ni mziki mnene ukilinganisha na united so ALISON anatembelea sana kivuli cha kina VVD kupunguza hatari nyingi zinazoelekea langoni kwake
Maendeleo ya mdogo wetu Karius
"He was at fault for the goals he conceded," Gunes said. "Karius has gone a bit stagnant, something is wrong with his electricity, motivation, enthusiasm for the game."
View attachment 1043625
Ahsante kwa gazeti nimekuelewaMkuu naona unalazimisha de gea aonekane bora msimu huu,
Nini labda sifa za golikipa bora? kwangu Mimi ni kuwa na clean sheets nyingi.
Kama save anazo 62 na beki iko imara inamaana Na yeye pia alikuwa anaokoa sana na sio beki.mkuu mambo yanabadilika allison ni world class golikeeper.
Angalia magoli waliofungwa utangundua de gea sio Bora kumzidi allison.
Mechi ya arsenal na man u, de gea anafungwa goli na xhaka la kizembe anauona mpira unakuja kabisa
Yeye anamove ukiuangalia mpira mpira umeenda kwenye direction uliopigwa yeye ndio anaangaika mpaka anaonesha kama mpira umebadirisha direction kumbe yeye ndio amemove na sisi uku tukaona kama mpira umebadili direction.
Kuna save nyingi za hatari kaokoa ila mashabiki wa Liverpool atuzisemu mitandaoni kama akiokoa de gea Yaani inakuwa ndio Habari.
De gea angekuwa bora kumzidi allisson asingefungwa hayo magoli yote aliyofungwa mpaka sasa.
allisson kafungwa goli 16 tu kwenye ligi mpaka sasa
de gea angekuwa bora asingefungwa hayo magoli aliyofungwa angezui asifungwe hata kama beki mbovu maana yeye ni bora anajua kudaka sana.
Mkuu usimchukulie poa allisson,huyo goli kipa afungiki kirahisi.mashabiki wa Liverpool tangu amekaa langoni allisson tumekuwa na amani sana.
Akiwepo huyo tunaamini mpira upo kwenye mikoni salama.
Unataka kusema clean sheets za Liverpool allisson ajachangia? Kwenye mechi 17 wavu wa Liverpool aujaguswa unataka kusema beki ndio wanazuia tu mechi 17 ni nyingi lazima goli kipa atakuwa yuko vizuri tu.
Achakuishi kwa mazoea na kufata mkumbo wa kwenye mitandao.
Save 92 na 62 kwenye mechi 30 ,bado allisson yuko juu licha ya kuwa na beki imara lakini kaokoa micho yote hiyo . Na tofauti ni ndogo hiyo ingekuwa save ni 10 au 20 sawa ila 62 ni nyingi sana na unavyosema analindwa na mabeki imara.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hadi samatta kamtindua huyuHuyu ndiye Klopp tunayeambiwa hakosei kwasababu anajuwa soccer management aliyetaka kutuaminisha kuwa Karius ni kipa bora.
Sasahivi Besiktas wanataka kuturejeshea mzigo wetu kwani wanasema tumewapa mkopo wa hasara.
When you said City will drop points it means Liverpool will win all (8) remaining games.
If City will drops points and Liverpool will drops points means nothing will change.