Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mimi ninachojua humu kila mtu anatazama mpira kivyake na anauona kivyake!
So, sote hatuwezi kufanana kimtazamo Bali lazima tutofautiane na ndiyomana Mimi Mshabiki wa Liverpool ata aseme chochote kulingana na anavyomuona mchezaji huwa namkosoa tu lakini simpigi madongo na kuanza kumshambulia mtu huyo.

Kinachoniudhi ni pale ninapoeleza Mimi mawazo yangu kuhusiana na Kocha au Mchezaji halafu anatokea mtu from nowhere badala ya kuargue anaanza dharau na kuniletea ujinga.
 

Dude, managers are there to lead players, wachezaji wanacheza uwanjani kutokana na directions za manager, manager ndio anaamua structure ya mchezo.

You cant blame players kwa ubovu wa tacticts za kocha, na huwezi kufananisha mafanikio ya kocha na yale ya mchezaji katika football.

Klopp as a manager, hata akiondoka leo atakumbukwa kwa kuipeleka LFC kwenye CL final (that is his trademark as LFC manager mpaka sasa).

Klopp will always get criticized for team selections/technical approaches/trusting shit players/not winning trophies etc, because he’s a manager.

Salah, will always get criticized for not scoring goals.

You see the differences hapo? Mwenye jukumu kubwa la kuhakikisha team inashinda trophies ni KLOPP siyo SALAH, because hata iweje salah always atacheza na kua-dopt kulingana na matakwa ya kocha. So the entire team inaposhindwa kudeliver anayekuwa responsible ni Manager, siyo mchezaji.

then...why am i dismissing (huwa simkosoi) Hendo on daily basis na alikuwa na msimu mzuri 2013/14, well first off he had a decent season, then amekuja LFC 2012, so apart na decent season aliyokuwa nayo 13/14, ameendelea kuwa average and useless player mpaka sasa, it amazes me kuona unashangaa mimi kum-dismiss mchezaji ambaye for the last three seasons playing as a B2B and a regular in a team ana goals 2 na assists 2, na unapata tabu kuelewa kwanini nasema its not fair to dismiss Salah ambaye in the last two season ana goals zaidi ya 50 na ame-impact status ya team kwa kiasi kikubwa sana, so why should i dismiss him for his bad patch for this past few weeks? Salah angekuwa ni useless player for the last 5 seasons ningekuwa nam-dismiss kila siku pia in this platform, but he’s not a all, he has scored 17 goals na ametoa pass za magoal 7 (more than Hendo in last 3 season playing as 2nd number 10), unataka nim-dismiss?

Criticizing and dismissing ni vitu viwili tofuati, if you want to crticize a player without dismissing him, angalia na jifunzeni kupitia posts za M-mbabe, you cant be dismissing mchezaji aina ya Salah kwa kisingizio cha crticizm and ukadhani watu hawata-notice.

And lastly, i crticize Klopp a lot, but i’ve never dismissed him (wanting him out etc), because i acknowlegde alichoifanyia LFC mpaka sasa.

I dismiss Hendo/Lovren/Lallana etc because they have done nothing for this team tangu waje at LFC, plus we didnt sign them for cheap at all, Hendo was decent in 14 (thats it), Lallana had 3 good months in 16/17, and what about Lovren? so why should i not dismiss these players?

VVD can have few bad weeks, and i will crticize him to boost his morale but i will never try to dismiss him and disrespect him at all, same to Fabinho/Mane/Alisson/Salah/Firmino etc. because i know what they can do wakiwa kwenye form.
 
Henderson and Co are viewed as shit players and they always getting crticized for they poor perfomances..

But guess who gets the most crticism for peaking them?

Guess who gets the most crticism if the team lose?

Dont compare salah to Klopp when it comes to crticizms, KLOPP is and will always be the symbol of LFC now, if we dont win the league people will look back at his mistakes etc and not discussing about Salah missend chances, because in football it very normal kuwa na bad-patch hasa kwa mchezaji ambaye anacheza every week.
 
Labda wengine hatuelewi kingereza hivi kusema mchezaji Fulani kipindi hiki hafanyi vizuri Kama mwanzo huko Ni kumdissmiss!?? Au hafungi Kama mwanzo napo Ni kumdissmiss!!?
Mtu anakosolewa pale anapofanya vibaya hiyo Ni popote na hasa kwenye mpira...HAKUNA POPOTE MTU KASEMA SALAH HASICHEZE AU ATOLEWE....TUNAHOJI KIWANGO CHAKE NI HILO TU...

ILA KAMA EWEW HUTAKI TUHOJI KWA KISINGIZIO CHA MAFANIKIO YA NYUMA BASI JIPIME MKUU NA USHABIKI AU MAPENZI YAKO KWA LFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dude narudia TENA

post yako haikumkosoa Salah but ili-dismiss his importance kwenye team.

Whats si hard to understand dude?

You could’ve corrected your post na nobody ange-notice ulichoandika.

“Saying its not proftable for us fans and the club as whole if Salah anakuwa top scorer na team inaambulia PATUPU”

Msimu ambao Salah alimaliza kama top scorer, we finished Top four and played in a CL final, hiyo PATUPU ni ipi? huoni kama magoal yake yalitusaidia? with our last season defence, huoni kama his goals played a major part kwenye our top four bid?

Whay am i even having chat with you?

Do you think ile post yako ina-scream any sort of Criticizm towards Salah?

Rival fans should be the one to throw out those words not you unayejiita LFC fan.
 
Point taken kaka.
 
Utafeli ukisema shabik wa timu pinzani akosoe mchezaji wako na ewew utulie tu Kama huoni hayo mapungufu...Bob huo ushabiki wa wapi!!?mtu akifanya mazur anasifiwa akikosea anasemwa haijalishi Ni timu yako au pinzani...LUKAKU WAKAT ANAFANYA VIBAYA HATA MASHABIKI WA MAN WALIMPONDA LKN SIO KIPIND HIKI NA HUO NDIO USHABIKI...
Punguza mapenzi rud kasome tulichokuwa tunajadili mkuu Ni swala la fomu ya mane na salah hayo ya kumshusha mtu umeyaleta ewew Tena kwa mbwembwe za kuita watu wajinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Understood, but dude let the ground to be free for other kopites kutema nyongo zao wasipozitema hapa wateme wapi? Watu wanakua frustrated pale tunaongoza kwa gap ya point saba ila mwisho tunachezea nafasi na kuanza kufukuzia nyuma nyuma, acha watu watapike maana salah kawaumiza kukosa zile chances dhidi ya everton pamoja na kupotea dhidi ya manure moja ya games muhimu kwelikweli kwa msimu huu LET THEM SPIT BRUH!
kote hakufai
 


King of London? or even England? What a joke!!! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]

Pindua mafanikio ya Arsenal kwanza ndiyo utuoneshe huo uking wako
 
Msimu uliopita tumemaliza vizur lkn hatujashinda kitu hata totts wanekuwa wanamaliza kila msimu top kwa mda mrefu Sasa lkn kinachoangaliwa bob Ni makombe...ndio maana Mourinho ana mafanikio makubwa man untd kuliko klopp au nalo utabisha...kuwa top scorer sio tatizo ila timu inafanyaje ndio kinamata...UKIENDELEA KUBISHA NI KWA AFYA YAKO MKUU NA HUKATAZWI...ILA UKWELI NDIO HUO SALAH INABID AJITAHID ARUD MCHEZONI BASI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…