Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Dude, post yako ya mara ya kwanza niliyoi-quote haina any sort of criticims, bali ni “upondaji”

Unaposema kuwa magoal ya mchezaji hayakusaidii kama mshabiki kisa team imetoka patupu, huo siyo “ukosoaji” ni “upondaji” na “ulalamikaji usio na msingi”

You cant be saying that kwa mchezaji ambaye magoal yake ya msimu uliopita yalisaidia team yako kumaliza Top four na kuingia CL final (huku tukiwa na defence mbovu), hayajaisaidia team au wewe kama mshabiki.
 

wengi bado wanaangali form za game kadhaa alizo potea na kutokufunga bado hawataona performance yake ya leo
 
Yeah man wr have three big games left IMHO. Spurs and Chelsea at home and that Soton game away.

so confident on Spurs and Chelsea as we will be playing home at Anfield

But southampton are so organized now, and play a very compact football, plus it will be away at home.
 
Great 3 point .......... Next Munich naimani sana kwa hii game tunapita
 
Post yangu ya kwanza Wala haikuwa hiyo Rudi kaangalie nilianza kusema tunajitahid Sana kumtetea Salah lkn anatuangusha siku hizi....halafu ndio nikamlinganisha na sadio mane kwa kipind hiki!!!
Kuhusu kufunga Ni sifa aliongea member humu ndio tukasema kuhusu swala la yeye kuwa top scorr na timu kutopata kombe...
Mkuu naona unataka tubishane tu tufanye maisha yawe mepesi KILA MTU AAMIN ANACHOKIONA SAWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You’re denying your own post dude..

Here’s my last msg kwako;-

“You can criticize your important players (its allowed in football and ni muhimu kwa kuamsha morali zao) but try not to dismiss them or disrespect them becuase you dont know siku ambayo wata-turn up na kukupa matokeo unayoyahitaji”.
 
Trash from Mr Trash!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Wewe Msenge! Kwani huwezi kueka mawazo yako hapa bila ya kuingilia ya Mtu? Au unaona hii JF ni ya Mamako kama mpaka tupost anachotaka mamako?

Kwanza Mimi sikuquote na wewe usiniquote

Tusitafutiane Ban za kijinga

Wewe andika unachotaka na Mimi naandika ninachotaka usiniletee mambo ya kishoga hapa

Mimi Siku nyingi nakuangalia tu na usenge wako

Hebu achana na Mimi Fala Mkubwa wewe hii Liverpool si ya Mamaako wala Babaako
 
Ukisema uangalie ya nyuma nani wa kumkosoa mourinho?, klopp?. Muda mwingine unaongea kauli huku we mwenyewe unajipinga, bro kabla ya klopp tulifika final uefa lini? Kwa mantiki hiyo klopp naye hapaswi kuguswa hata kidogo maana kafanya makubwa ukizingatia wakati mgumu tuliopitia, HIVI INAKUAJE USITOE LAWAMA KWA MTU ANAYEKABIDHIWA JUKUMU KUBWA LA KUIBEBA TIMU WAKATI MUHIMU HALAFU ANASHINDWA KIZEMBE?, ifike mahali uwe wa mfano mbona unamdiss hendo wakati alikua na mchango mkubwa msimu wa 2013/14 tunakoseshwa ubingwa na gerrald slippery, aaaaah?

kote hakufai
 
Mkuu mimi nakuunga mkono, Gareth Bale pale madrid anaonekana si lolote licha ya kuibeba madrid katika fainali tatu kuanzia copa del rey anamfundisha mabio marc bartra, uefa na atletico extra time, na livepool mwaka jana akaua game kabisa ila leo anapondwa tu Salah yeye nani bwana? Akizingua asemwe tu bwana hamna kulaza damu ku praise upuuzi!
kote hakufai
 

Kiongozi upo sahihi kuwa Salah anatuangusha kwa baadhi ya nafasi lakini still kwa upande wangu naona bado ni Mtu muhimu sana kwa timu yetu na mchango wake unahitajika muda wote kwani ana-offer baadhi ya vitu muhimu.

Hata magoli ya leo mchango wake ni Mkubwa tu.
 
Ha ha ha punguza jazba mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Ni ukweli mkuu...ila hata mara nyingi napoonaga unawakosoa wachezaji wakina hendo na wengine huwa nakuwa mpnz msomaji kwa sababu najua unachotaka Ni mazur kutoka kwao na sio kwamba huwapendi an kwa mfano Leo llallana ulianza kwa kumponda lkn ulipoona amefanya vizur mbona ukampa sifa yake...TATIZO NI PALE MTU ANAPOKATAZA MTU ASISEMWE KISA ASHAWAHI KUFANYA MAZUR HILO BINAFSI NDIO SIWEZI KUKUBALI....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah, Mane, Firmino najuwa kuna wakati wanakuwa katika hali mbaya zaidi na zaidi lakini wote watatu ndiyo uti wa mgongo wa timu yetu.

Siwezi kumponda Salah kwa njia yoyote hile! Sijui kama ni mapenzi binafsi tu!
Lakini ni muhimu kwa timu yetu
 
Jamaa anakera yeye hapost chochote kutoka akilini mwake kinachohusu timu, Bali anasubiri mtu wengine apost ndiyo aanze kuleta ushoga wake.

Kakaa kama Punda hatamani dume mpaka aone mwenziwe anapandwa ndiyo na yeye atatamani kupandwa.
Kausha boss.. watu wana stress na maisha mkuu njia pekee ya kujifariji Ni kukera wenzao!!!!
TULIFANYE HILI JUKWAA KUWA SEHEMU SALAMA YA KUPATA MAARIFA NA KUIPIGANIA JAPO KWA MANENO TIMU YETU

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…