Morinho hata now akipewa timu ninauhakika atafanya kitu maana jamaa anajua kushika na mbinu zote za kukimbia mpk alishike kombe sio ule upuuzi anao fanya klopp na waingereza wakeWakuu. Klopp aondoke tulete Mourinho tumpe miaka 3 at any cost atatupa ubingwa. Kuliko mpumbavu Klopp.
Sent using my Nokia Torch
Kilichomkuta Madirid nadhani mtegemee kutokea tena apo tareh 13 ...hamna pa kutokea kwakweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni soka
Nani hayaogopi majogoo!?Mkuu hii ni soka
EPL ubingwa ni wa yyt teams mbili za juu
Haha yec mkuu tumeshitua kidogoAhahahhahahahaha
Nawaona tu Dullah na Bardizbah kutokea upareni
Ahahhahahahahahaha
Mwanga kwetu vijana ni weng ofcourseHuhuh
Upareni kuna watoto wengi wa Anfield ee?
mkuuMmetisha
Sie kwetu huko Iringa ni mashetani wekundu kwa wingi wa kutisha
Mfano unakuta bandani tupo wapenzi wa Liverpool wawili tu, the rest by majority Man U
Hiyo timu wapo wengi sana.mkuu
Siwapendi man u aise
Lkn mara nying vibanda umiza wanakuwaga wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu
Siwapendi man u aise
Lkn mara nying vibanda umiza wanakuwaga wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.
Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"
Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.
Umbumbumbu si mtaji kwakweli
HamnaHivi tangu huu uzi umeanzishwa mlishawahi kushinda kikombe chochote kweli?
aaah aaah hatari sasa