Mkuu hata mie nimesikitika kwa hilo, sio kila chance lazima afunge lkn midfielders wakitengeneza chances nyingi naamini ktk kila chance 5 hawezi kukosa walau goal 1.
Unamuonaga Hancy anavyokichafua?Balama mapinzuzi wa Alliance ni Bora kuliko miliner
Jana kocha katuangusha vibaya sana, kweli unatafuta ushindi halafu unapanga viungo walinzi wote? kanimaliza alivyomtoa Gin na kumuingiza Milner nikajuwa jamaa hayuko serious. nilitegemea kuongeza viungo washambulizi Shakir na Keita. pale acheze Fab au Ander hawawezi kuwa wawili pamoja, na mimi nasema Fab acheze captain ni back up tu. sasa tuombe kudra tu maana huwezi kushinda league na Ander kama Midfilder pass zake ni kama robot. nampenda Klopp lakini kwa jana hapana huyu mzee atatupa ugonjwa wa moyo kwa kweli. tactic alikuwa wrong 100%
Na ndio maana asilimia 95 ya raia duniani hawataki mchukue maana mna miaka zaidi ya 30 hamjabeba epl ila mnajiona kama nyie ndio mna hati miliki ya kuchukua msimu huu. The wait is still on buddy!Ndio maana mimi kama mimi naungana na mashabiki wengine wanaosema kuwa jamaa akishindwa kuchukua EPL title ya msimu huu aondoke maana sioni excuses kwa mtu kushindwa kuchukua kombe lolote kubwa kwa misimu minne kabisa akiwa na klabu kubwa hii
bora Murinyo anakupasulia hapo hapo kuliko huyu wetu ma hug kama yote n makombe ziroooLakini kina Mourinho walilaumiwa Kwa kugombana na wachezaji wake Klopp akasifiwa Kwa hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo ndipo mahesabu ya ubingwa tunapokosea...City ashapoteza game 3 sisi 1 lakini tumezidiwa 1 point
Anaweza poteza game nyingine 3 na sisi tukaendelea ku-draw kila game
Na ndio maana asilimia 95 ya raia duniani hawataki mchukue maana mna miaka zaidi ya 30 hamjabeba epl ila mnajiona kama nyie ndio mna hati miliki ya kuchukua msimu huu. The wait is still on buddy!
Liver hawezi beba kombe.Na anaweza akachukua pia,kama akichukua mi nitaendelea kumuunga mkono abaki miaka mingine
Gap linasoma point moja zikiwa zimebaki mechi tisa and anything can happen probabibility ya kuchukua ni kubwa tu, unaweza ukaumia roho sana come may 2019 ukijipa matumaini ya 100% kuwa hatuchukui msimu huu
Liver hawezi beba kombe.
Mnamtegemea salah, nae pumzi imekata.
Hata huyo shaqir ni garasa tu ukiachana na goli zake mbabatizo za united ipi effect yake? Toka buyern had stoke city we hushangai?
Ana goli 6 za ligi akiwa amecheza kiungo
Kwani toka aanze kucheza mpira hajawahi kufunga?
Mkuu nadhani umekomenti kuhusu maoni niliyotoa hapo juuKaribuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.
Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"
Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.
Umbumbumbu si mtaji kwakweli
Dah mkuu na kunitukana juu.Karibuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.
Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"
Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.
Umbumbumbu si mtaji kwakweli
Ckuiz hayupo kikosini sjui Ana tatzo ganiUnamuonaga Hancy anavyokichafua?