Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


√ We are out of FA
√ We lost the race at Carabao very early
√ We are out of CL by 70% or more
√ We are on our way to accept defeat in EPL ... Soon we'll acknowledge defeat.


So, what the fvck are we doing in this damn world?

• Fvck all scousers
• Fvck the self claimed FB's top reds
• Fvck Merseysiders
• Fvck all Brexit Liverpudlians
 
dear Hendo haters and admirers alike.... what is your take on the below comment from a BBC pundit?

mi simo!!


Crooks makes a very good point about the Liverpool captain.
 
Embu mwenye rekodi aweke mambo sawa hapa, hivi tangu 2010 tumemfunga chelsea mara ngapi?😂...

Ukweli ni kwamba wanafiki ni wale wanaojifanya wana imani yani nafasi ya kubeba ubingwa kwa liver ni swalia mtume
 
Lakini kina Mourinho walilaumiwa Kwa kugombana na wachezaji wake Klopp akasifiwa Kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matusi yanatoka wapi wakati ulishatuhakikishia nyie ndio mabingwa wa EPL msimu huu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matusi yanatoka wapi wakati ulishatuhakikishia nyie ndio mabingwa wa EPL msimu huu ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lile lilikuwa ni Dongo against wanaojiita LIVERPOOL HALISI na sio venginevyo.

Mimi hapa ninajuilikana wazi kuwa ni ANTI-KLOPP from the beginning ambaye Msimamo wangu unajuilikana wazi Ninaamini "Klopp hatoweza kupata Mafanikio ya aina yoyote ndani ya Liverpool mpaka atakapokubali kubadilisha Sera zake".

Ile kusema sisi ni Mabingwa ilikuwa ni Madongo tu kwa Wanaoamini Klopp hakosei (Nadhani unawajuwa).
 
dear Hendo haters and admirers alike.... what is your take on the below comment from a BBC pundit?

mi simo!!


Crooks makes a very good point about the Liverpool captain.


Hawa Biased pundits ndiyo walewale tu nothing special..

Eti Liverpool inapo struggle inamuhitaji Henderson! Since when? Coz katika Muda wote tunaostruggle huyu Hendo anakuemo Kwenye Line-Up sasa anahitajika kivipi?

We played against:

1) Red Star - (Lose) Hendo alikuemo
2) Napoli - (Lose) Hendo alikuemo
3) PSG - (Lose) Hendo alikuemo
4) Man City - (Lose) Hendo alikuemo
5) Leicester - (Draw) Hendo alikuemo
6) West Ham - (Draw) Hendo alikuemo
7) Man United - (Draw) Hendo alikuemo
8) Everton - (Draw) Hendo alikuemo

Sasa anaposema "When Liverpool are struggling they need Henderson" In which game kwa mfano ambayo alihitajika Henderson aokoe Jahazi?

The true Captain Steven Gerrard tulimhitaji Instambul kuokoa Jahazi against AC Milan na akadeliver! But this Fake Captain tulipomhitaji aokoe Jahazi against Real Madrid basi ndiye wa kwanza aliyeishia Kupotea uwanjani.

Whe Liverpool are struggling he will Never ever rescue it, isipokuwa ndiyo anaizamisha moja kwa moja.
 

City ashapoteza game 3 sisi 1 lakini tumezidiwa 1 point

Anaweza poteza game nyingine 3 na sisi tukaendelea ku-draw kila game
 
Inawezekana hata haya unayoandika pia ni dongo kwahiyo bado nyie ni mabingwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
it pains me kuona some of the good reds on here blaming Salah for our recent results

we clearly dont deserve good things at all.

how can you go and bash a dude who has 17 goals and 7 assists, playing infront of the most negative midfield to ever be assembled in LFC history.

y'all want Salah to replicate his last season form, huku main link up players from the midfield wakiwa ni Milner/Henderson/Gini/Lallana. how can he score goals on daily basis kama main creators kwenye team ni our FBs, Fabinho (Defensive Midfield for gods sake) and Matip (Centre back for gods sake).

Wijnaldum, our supposedly link up play managed only 17 passes in 63 minutes yesterday, and you expect Salah to replicate his last season's form.

Aguero has David Silva/Gundogan/De Bruyne/Bernardo Silva behind him, Kane has Erikssen/Delle Ali/Son etc behind him, and then you have Salah ambaye ana Henderson/Milner/Gini/Lallana behind him ambao kocha anaamisha watu kuwa ndiyo main link up players, link players who cant play more than 3 progressive passes in 90 minutes.

without Salah's goals tusingekuwa 1 points behind City, matter of fact tungekuwa tuna-chase top four.

and kufikiria kuwa Strikers or goal scorers wanatakiwa kufunga kwa kila chance wanayoipata ni ujinga sana, yesterdayt we managed to create TWO CHANCES, ndani ya dakika 90, and they came from Fabinho and Matip passes between the lines. you have to create a lot of chances ili kupata nafasi kubwa ya kufunga, Salah missed a lot of chances last season but it was fine because with Cou and then Ox we created a lot of chances (a lot), this season we depend on our FBs, DM and a Centre back to create chances for our front 3.

and some are saying we should sell him, sell Salah?? and replace him with who? 17 goals and 7 assists in March, find me a RW in the EPL who has more goals than him right now.

Y'all bashing Salah for Klopp's lack of balls.
 
when was the last time Lallana scored a goal or even assist a goal?
 
Wakuu Mimi sijui soccer management hata kidogo lakini napenda kuuliza kwa wale kwenye ujuzi na soccer management!

Hivi ni kweli Lallana ni bora kuliko Keita?

Je ni kweli Origi na Sturridge ni bora kuliko Xhaqiri?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…