Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hahahah umenkumbusha mbali sana mkuu.. lile bonge linabutua butua andrea dossena na mwenzake Degen.. Hivi ni kocha gani aliwaleta
 
Usiombe ukutane na Chelsea kwa sasa..

Yeyote anayekatiza mbele yetu huyo ni halali yetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu kumpiga Spurs ushaanza vurugu, hongera maana haukua poa sanaa hivyo kushinda kutawarudisha kwenye mapambano ya nne bora...

nakusubiri Anfield Fortress nichukue pointi tatu safi kabisaaaa...
 
Forwardline yetu ina kifafa... Yet ina score. Kwangu mimi bora kifafa kinachoscore kuliko kitu kizima lakini butu.

Ama kweli maendeleo hayana chama.
yes chief, currently ina kifafa because kwa uchezaji ule hatuwezi kushinda vs better and compact defences.
no rocket science - just look over at our last 5 games before last nite's.
 
ndugu kumpiga Spurs ushaanza vurugu, hongera maana haukua poa sanaa hivyo kushinda kutawarudisha kwenye mapambano ya nne bora...

nakusubiri Anfield Fortress nichukue pointi tatu safi kabisaaaa...
Yaan anaona kama sikukuu, wakat chelsea kwasasa maji kupwa maji kujaa,

Subir game ijayo ,na waendelee kumuweka cabarelo,

Maana hao spurz hakuna asiyejua ni mbwembwe tu, jana hawajapiga on target hata moja,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan anaona kama sikukuu, wakat chelsea kwasasa maji kupwa maji kujaa,

Subir game ijayo ,na waendelee kumuweka cabarelo,

Maana hao spurz hakuna asiyejua ni mbwembwe tu, jana hawajapiga on target hata moja,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanatapatapa mara plan A mara plan B hawajielewi....

Babu Sarri na Sarri boys watafaa kucheza futuhi

nawasubiri Anfield niwazime...
 
Pamoja na kushinda goli 5 viungo washumbuliaji bado ni tatizo, magoal yote yamepikwa na fullback, ushindi huu najua utatusaulisha udhaifu wa mido zetu.
sure kabisa, cha msingi ni kama wamechemka kutengeza nafasi au assist za kufunga basi wengine wame step up na wamefanya vyema..

jana klosi za Anord was superb n classic...

sasa ni consitency kama ataedelea kupangwa adeliva vilevile tutakua moto...
 
Klopp huwa anatuangasha kwenye kupanga kikosi tu...! Why game ya man utd hakumpanga Anorld..? Halafu Salah, kwa nn hakuungwa dirisha dogo..

Salah hana msaada kwa sasa pale mbele liverpool, jamaa akipewa pasi, lazima aharibu tu tu.. hata cheka sasa zinamshinda kupiga
 
Muondoa papara ni klopp tuamini tu kua imeshindikana.
Hivi kwa nini tukiambiwa Buvac ndo plan wake hatuamini na vielelezo vinaonyesha?

Keita angemkuta Buvac angefiti na Salah angeshakaribia goli 40
 
Muondoa papara ni klopp tuamini tu kua imeshindikana.
Hivi kwa nini tukiambiwa Buvac ndo plan wake hatuamini na vielelezo vinaonyesha?

Keita angemkuta Buvac angefiti na Salah angeshakaribia goli 40
....so, you mean Klopp is a piece of shiite, right??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…