Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya kocha, transfer windows saba na bado hao wachezaji wapo nani kawabakiza hapo? Leo hata everton ana benchi lenye uhai kuliko sisi dah!
kote hakufai
 
Mkuu mimi ikifika wakati mchezaji talented anakua hapati anachostahili hua naona bora auzwe tu, una bunduki then unaenda vitani na rungu really?

kote hakufai


Kama sio Uingereza ni nini? Hata Gini sio wa kumuweka benchi Naby Keita
 

Yaani umpe credit kwa wachezaji ambao anao!

Been here for 4 good seasons, angeweza kuwaondoa wote wabovu na kutengeneza winning team.

Nani kamnyima kusajili?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…