Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
IN KLOPP WE TRUST,mwisho wa siku tutashangaza wengi!!!!
Hamtoamini mtachokiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisia ndio unaishi nazo mkuu,mm naongelea ukweli ambao ndio uo unaotuweka kilele Cha ligi mda huu, hisia ndio zinazokufanya uishi kwa kuwaza hata hatujayafikia,..tunaenda game by game mkuuSio "Hatutoamini Tutakachokiona" hapo umechelewa sana Mkuu kuzungumzia Future!
Bali ukweli ni Kwamba muda huu tulionao ndiyo "Hatuamini Tunachoendelea Kukiona".
Mkuu Be Realistic usiishi kwa Hisia
TUNAWIN GAME YA LEO USIKU NAAMINI LAKINI VS EVERTON WEEKEND NI KISANGA BADO YAANI VIJANA WATAKUJA NA AKILI YA DRAW AU KUTUUWA KLOPP ALIVYO KOSA MBINU HAPA MWISHO SIDHANI KAMA GAME ITAKUWA NA SALAMA KWETU
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mkuu,PAMOJA NA KIPINDI HIKI KIZITO STILL NAAMINI KLOPP ATAJARIBU KUFANYA KITU AMBACHO KITAONGEZA KITU KATIKA KIKOSI CHETU INGAWA KUNA MUDA ANAJIROGA MWENYEWE .
KIKUBWA NINACHO KIONA WACHEZAJI WAMEKOSA MENTALITY YA KUJUA NI NAMNA GANI TUNA PASWA KULIWINDA KOMBE MPAKA TULIPATE MAANA KUNA MUDA HAWAONYESHI JUHUDI KUW NI KWELI WANATAKA KOMBE
ALL IN ALL BADO NAAMINI TUTACHUKUA EPL 2018/2019 NI MAWAZO YANGU LKN TUSILAZIMISHANE KUAMINI HIVYO MNAVYO AMINI NYINYI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu klopp bado anauwezo wa kufanya kitu na kuamua maana bado anakila sababu ya kuchukua EPL hii sema kitu kinachoonekana klopp kuna muda anatumia approach mbaya kwenye baadhi ya game hatuwezi kucheza na ile mildfield ya man u ya ile siku na bado tukajaza viungo wakabaji wote maana kulikuwa hamna sababu kwan man u tangu mwanzo wa game walionekana kutuogopa lkn baada ya kuona hatuliface lango lao mara kwa mara na mipira haipitishwi ipasavyo kwa forwad zetu wakapata uhuru wa kufunguka na hatimae kuwa na kiburi cha kutushambulia jambo ambalo lilinishangaza kwa man u ileMerseyside Derby
Kama ilibaki inch tu watoe draw Anfield i wonder what will happen jumamosi wakiwa kwao
apart from Arseno Watford r th other team Klopp has scored 12+ goals since he joined....
Where is Keita?