TO BE HONEST! SINA IMANI TENA NA HAWA FRONT THREE WETU HUSUSAN SALAH KAMA WANAWEZA TENA KUTUSAIDIA KUBEBA KOMBE LOLOTE
UKWELI NI KWAMBA WAMESHACHUSHA KWA SASA NI WA KAWAIDA TU NA WALA SIO TESHIO TENA WANAWEZA KUKABWA NA HATA SOUL BAMBA NA WASIFURUKUTE.
TUNAHITAJI NEW FACE KUPAMBANA.
LAST SEASON WOTE KWA KILA MMOJA ALIFUNGA GOLI 10 KWENYE CL..
LAKINI CL HII WOTE KWA PAMOJA WACHANGANYISHWE HAWATOFIKA GOLI 10..
KAMA KUNA MTU ANABISHA AHIFADHI HII COMMENT.
individually, they have been poor, but to be fair Klopp's negative tactics haziwasaidii pia, you cant expect them to play better with defensive oriented MF behind them.
last season we had Coutinho and then Ox, complete creative mids, ambao walikuwa ni Link-up players wazuri and they did a very good job katika ku-link our MF and attack.
we have signed Shaqiri, ambaye ni creator mzuri tu but hapati nafasi sana na kama akichezeshwa huwa anakuwa deployed as a RW, then we have Keita who can be a good link-up player from the Middle but Klopp plays him as LM/LW, hence tunakosa creativity from the middle.
I understand why he had to go with that mid-3 y'd, he wanted to shut down Pogba completely, and in order to do that we needed Hendo to press Herrera for 90 minutes, but luckily Herrera got injured mapema, so Utd's MF died from there, Pogba became invisible (hakukuwa na runners wa kumfree kwenye middle yao because OGS went in with a 442, after injures he had to change kwenda 433), so from point Klopp had to sub off Hendo for Keita and revert back to 4231, but suprisingly he remained with 433 and use Gini as our last creative mid (link-up mid) ambaye for entire 90 minutes hakupitisha hata mpira mmoja either kwa Salah au Mane. Klopp persisted na ile mid because alikuwa anaogopa kupoteza game kuliko kuwaza ushindi zaidi.
you cant blame the front three this season, you can see wamekuwa hovyo (combined) kila wakicheza mbele ya negative/defensive minded Midfield, we've seen them turning up kila wakicheza mbele ya MF inayowahusisha Faby/Gini/Keita/Shaqiri. its not their fault that the club didnt buy a creator in the summer.
They need to step up, Yes. but blaming them as a whole haiwi fair kabisa.