Sijawahi beba sababu tokea imerud kuwa FIFA club world cup nimeshiriki mwaka mmoja tu na nilicheza na Hiroshima,nimekuuliza ukitaja mafanikio kiujumla kimataifa ewew unanitaji kikombe kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sisaidiwi na mtu mkuu najua vitu mwenyewe maana nafatilia an sina ushabiki wa kishamba,nakushangaaa. EwwWaambie mashabiki wenzio wa liverpool wakusaidie kama huko kimataifa una kombe la dunia ngazi ya vilabu na ulibeba lini
Ueropa and uefa kimataifa,tuanzie hapoSasa hayo nimafanikio unataka yapi?
Kwani Chelsea Hana hiyo FIFA club world cup!??Babu mbona unaruka ruka utulii kwenye point mojaHata chelsea anazo leta jipya
Kwani Chelsea Hana hiyo FIFA club world cup!??Babu mbona unaruka ruka utulii kwenye point moja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12] Jurgen Klopp, na mechi ya tarehe 3 march na Everton u bet maana nasikia mechi zote za ugenini utakuwa una BET.Inauma Sana! Tulitry so hard kuchange from doubtere to believers kwa Klopp but kwa Masikitiko Makubwa tukienda hatua moja mbele anaturudisha 2 nyuma.
Kwahiyo unataka kusema man untd Ana mafanikio Zaid ya Liverpool kimataifa!!?Labda kama fainali alicheza na liverpool halafu mkajiandalia hiyo mech
Kwahiyo unataka kusema man untd Ana mafanikio Zaid ya Liverpool kimataifa!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,HUWEZI MFUNDISHA MBWA MZEE MBINU MPYA UWEZO NA MBINU ZA KOCHA WENU NDIPO ZINAPOKOMEA .Tokea January ilipoanza sihawahi kuona hata kwenye game moja tukicheza kwa Tactic yoyote hile Bali naona tunacheza kama timu iliyo NA kocha aliyeishiwa mbinu
Hili suala nilitaka kulisema muda mrefu sana toka ligi inaanza ila upepo wa matokeo ukanifanya bubu, Man we've lost our footballing identity, huwezi sema ni aina gani ya mpira liverpool tunacheza since last year ucl semis. Tupo tupoTokea January ilipoanza sihawahi kuona hata kwenye game moja tukicheza kwa Tactic yoyote hile Bali naona tunacheza kama timu iliyo NA kocha aliyeishiwa mbinu
TO BE HONEST! SINA IMANI TENA NA HAWA FRONT THREE WETU HUSUSAN SALAH KAMA WANAWEZA TENA KUTUSAIDIA KUBEBA KOMBE LOLOTE
UKWELI NI KWAMBA WAMESHACHUSHA KWA SASA NI WA KAWAIDA TU NA WALA SIO TESHIO TENA WANAWEZA KUKABWA NA HATA SOUL BAMBA NA WASIFURUKUTE.
TUNAHITAJI NEW FACE KUPAMBANA.
LAST SEASON WOTE KWA KILA MMOJA ALIFUNGA GOLI 10 KWENYE CL..
LAKINI CL HII WOTE KWA PAMOJA WACHANGANYISHWE HAWATOFIKA GOLI 10..
KAMA KUNA MTU ANABISHA AHIFADHI HII COMMENT.
Asante mkuu tumekosa kibabe zaidChuga ndugu pole sana na kukosa kombe...