Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kweli Jamhuri Kiwhelo wetu anavyoongoza timu kama Kigenge cha wauza Mitumba Mtu anayejua Mpira anaweza kusema mechi ya jana tungeshinda ndani ya OT??
 
Kumbuka makocha wote walioajiriwa na timu ngeni hawakutoka mikono mitupu ni klopp tu miaka minne hana kitu unajua hilo?
 
Tatizo mashabiki wengi wa Liverpool wanashindwa kukubali ukweli kuwa ligi miaka yote kipind hiki huwa ni kigumu na hakuna ambaye mwanzo wa msimu alijua kuwa tungeweza kuwa wa kwanza mpaka kuukaribia mwezi wa tatu,kimsingi ni kupigana kila gemu inayokuja bila kuangalia matokeo ya wengine,kelele za watu chini zisitutoe kwenye ushabiki wa kweli na sisi kuanza kuhukumu,kwa kipind ambacho timu ipo vizur,wachezaji ni binadamu na wao miili huwa inabadilika huo ndio ukweli an lazima tujue ile ni epl,sio vpl...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ndiyomana sikushangaa hapa kuona watu wanasema Tutamfunga Bayern Nyumbani Kwake

Halafu mtu anajiita Mshabiki anayejua mpira huyu! Umfunge Bayern kwenye ardhi yake???????? Labda asiwe kocha Klopp
 
Sasa sisi tusubiri miili iliyobadilika ikae sawa kwanza, tumuache PEP apasue anga huenda akatusubiri njiani huko mbeleni
 
Na Ndiyomana sikushangaa hapa kuona watu wanasema Tutamfunga Bayern Nyumbani Kwake

Halafu mtu anajiita Mshabiki anayejua mpira huyu! Umfunge Bayern kwenye ardhi yake???????? Labda asiwe kocha Klopp
Bayern anafungika vizur tu hapo kwake na timu kibao zimeshawahi kuchukua point hapo Allianz arena,an kumbuka kloop huyohuyo akiwa Dortmund kaishawahi chukua point na ubingwa mbele ya huyo huyo bayern....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Huwa Ninakawaida ya Kuhifadhi Matukio...

Tuliwahi kwenda Spain kwa Mbwembwe tukakaa Wiki Nzima kujifua! Tulipotuwa tu Uengereza tukaliwa na Wolves.

Yaani hizi trips ni Uboya mtupu tokea aje Klopp.

Na Next season tutafanya hivihivi
 
Sasa sisi tusubiri miili iliyobadilika ikae sawa kwanza, tumuache PEP apasue anga huenda akatusubiri njiani huko mbeleni
Kwa mtazamo wako boss,ila facts ni kwamba Liverpool ndio anaongoza ligi kwa point moja bado game 11,Ya Man City na kupasua anga ni yake na sijui anga gani mkuu unayoingelea hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli Jamhuri Kiwhelo wetu anavyoongoza timu kama Kigenge cha wauza Mitumba Mtu anayejua Mpira anaweza kusema mechi ya jana tungeshinda ndani ya OT??
kiongozi baba, naona sasa umeanza kutoka nje ya mstari... please don't go that Malafyale's mediocrity trip - i thought you were a lot better than that?
 
Ahahaaah...
Watu wa aina yako huwa mnanichekesha sana aisee..!
Okay,let's say Man City atadondosha points kama unavyoamini..!
Vipi kuhusu timu unayoishabikia,itashinda mechi zote zilizobaki..?

Moja ya Mtu Masikini Kabisa Aliyefilisika ni Yule anayemuombea Jirani yake alale na Njaa bila ya yeye mwenyewe kujua atakula wapi.

Ni sawa na Mtu anayeiombea Man City ifungwe bila ya yeye kujuwa atashinda vipi.
 
kiongozi baba, naona sasa umeanza kutoka nje ya mstari... please don't go that Malafyale's mediocrity trip - i thought you were a lot better than that?

Inauma Sana! Tulitry so hard kuchange from doubters to believers kwa Klopp but kwa Masikitiko Makubwa tukienda hatua moja mbele anaturudisha 2 nyuma.
 
Waambie mashabiki wenzio wa liverpool wakusaidie kama huko kimataifa una kombe la dunia ngazi ya vilabu na ulibeba lini
Sijawahi beba sababu tokea imerud kuwa FIFA club world cup nimeshiriki mwaka mmoja tu na nilicheza na Hiroshima,nimekuuliza ukitaja mafanikio kiujumla kimataifa ewew unanitaji kikombe kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…