Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Approach ya leo ilikuwa so ya timu yenye njaa na ubingwa, kocha anazingua na maingereza yake yale mawili yaliyoishiwa creativity in the pitch and 30yrs with trophyless is loading. Every game has been narrowing the gape, huu ni upumbafu
 
what more does Klopp need to win us trophies?

this season was there for the taking, but he has failed to capitalize na ubovu wa big 6 this season.

how can you go and drop points against that C-united team?

Akishindwa kuchukua kombe hili msimu huu aondoke tu

Hatutaki sura tunataka makombe

Kocha huyu anajua kusajili lakini management yake sijaiappreciate
 
Still kuna watu wanaamini Klop ni world class Coach, the man is not taking us anywhere. when to substitute and whom to substitute ni tatizo kwa huyu mzee, kuzifikia level za kina Pep bado sana
 
Natafuta mtu wa kumtukana humu ili nipunguze hasira.

Toka msimu huu umeanza, tumekuwa tukilalamika kuhusu Fowardline kuwa butu, ila ikawa tunajifariji watabadilika, watabadilika, watabadilika. They have totally gone from worse to the worst.

This calendar year we have 3 wins, 4 draws and 2 losses in all competitions, extrapolating these results you could find out that in May, we will be 3rd of the league.

Buvac was the brain, we are left with the skull.

Buvac was the brain behind our sensational display last year, we had an identity. But now you just watch a bunch of players with no direction, with no clue, just there to kick ball.

I see it slipping out, can't handle this people, I try to be pessimistic as much as I can but the reality eats me.

We are one, we are Liverpool.

YNWA.
 
Naona kuna wale waliojiita Halisi wameshaanza kuwa Neutralized kwa kuanza kutuelewa kwanini tulikuwa tukimlaumu Klopp ana Mimilner na Mihendo Yake.

Na kuna Everton mbeleni sasa nawahakikishia atatukomalia na hatumfungi...

Hapo ndiyo Man City atakapotuambia kwaheri.
 
Kumlinganisha Pep na Klopp ni tusi nzito sana kwa Pep.. Pep yupo kwenye mbingu yake mwenyewe..

Angalia alichokifanya Man City, msimu wa kwanza katoka kapa.. Msimu wa pili kafumua kikosi kaleta zana mpya, kashinda EPL na Points 100 na akivunja rekodi kibao kwa msimu huo 2017/2018.. Msimu wake wa 3 ndio huu..

Klopp tangu aje, kikosi alichosema anakisuka hata hakionekani.. Huu ni msimu wake wa nne ila yupo yupo tuu, haeleweki anataka achukue kombe gani...

Kazi aliyobaki nayo ni kukumbatia wachezaji na kupiga makofi...

Mavi yake...
 
Natafuta mtu wa kumtukana humu ili nipunguze hasira.

Toka msimu huu umeanza, tumekuwa tukilalamika kuhusu Fowardline kuwa butu, ila ikawa tunajifariji watabadilika, watabadilika, watabadilika. They have totally gone from worse to the worst.

This calendar year we have 3 wins, 4 draws and 2 losses in all competitions, extrapolating these results you could find out that in May, we will be 3rd of the league.

Buvac was the brain, we are left with the skull.

Buvac was the brain behind our sensational display last year, we had an identity. But now you just watch a bunch of players with no direction, with no clue, just there to kick ball.

I see it slipping out, can't handle this people, I try to be pessimistic as much as I can but the reality eats me.

We are one, we are Liverpool.

YNWA.

Kwa Asilimia 100.00% najiridhisha kuwa Hatubebi ubingwa wa EPL wala sihitaji Mtu aniunge mkono kwa hill.
 
Ingawa anajitetea kuwa majeruhi wa Man U wamempotezea ushindi. Binafsi naona eneo la kati la Liverpool lilikosa ubunifu. Viungo wetu nahisi walicheza kwa lengo la kujilinda zaidi kuliko kushambulia.
Hii gemu nahisi angepewa Keita kile kiungo tungeona unyumbulifu.
Bado naamini viungo halisi wa Liverpool wapaswa kuwa FABINHO/GIGI/KEITA si muingereza wetu.
Na hii kauli kila mtu ashinde mechi zake itatuumiza.
 
Naona kuna wale waliojiita Halisi wameshaanza kuwa Neutralized kwa kuanza kutuelewa kwanini tulikuwa tukimlaumu Klopp ana Mimilner na Mihendo Yake.

Na kuna Everton mbeleni sasa nawahakikishia atatukomalia na hatumfungi...

Hapo ndiyo Man City atakapotuambia kwaheri.

Before Everton kuna watford sioni wepesi kwenye game hii labda fortress itubebe yawezekana another draw
 
Naona kuna wale waliojiita Halisi wameshaanza kuwa Neutralized kwa kuanza kutuelewa kwanini tulikuwa tukimlaumu Klopp ana Mimilner na Mihendo Yake.

Na kuna Everton mbeleni sasa nawahakikishia atatukomalia na hatumfungi...

Hapo ndiyo Man City atakapotuambia kwaheri.
Pia tuna nafasi ya kufanyiwa homework na Tottenham na man u, hawa jamaa nawapa double chances against man city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom