Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
KUNA KAMSEMO UNASWEMA KLOPP NI MZEE WA KUFELI MWISHONI
Nahisi pana ukweli hapa
Nahisi pana ukweli hapa
Mwanzo nilihitaji draw tu lakini baada ya kuanza game na nikawaona Man United mdebwedo basi nilitaka tuwapige tu
Aka mzee wa kutengeneza timu. Yeye kila msimu anasuka timu. Man U wakimpangia Pep kikosi walichopanga leo, watakula za kuwatoshaKUNA KAMSEMO UNASWEMA KLOPP NI MZEE WA KUFELI MWISHONI
Nahisi pana ukweli hapa
mkuu kutuita nguruwe pori pia ni ushabiki?Nyie kuku kama nimeshindwa leo kutwaa hizi point 3 mhimu mnategemea nini ka UEFA Champions ndo mshaaga hivyo na hili mkabidhi kwa watoto wa mji nyie nguruwe pori kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
not me, chief.... sorry.Kwakweli hata hii draw turidhike
tatizo klopp ni mwoga kwa game kubwa haswa za away nahisi hata yeye alikuwa anatafuta droo na ukiwa unatafuta droo usipofungwa ni bahati sanaKUNA KAMSEMO UNASWEMA KLOPP NI MZEE WA KUFELI MWISHONI
Nahisi pana ukweli hapa
Chickens in deedWe are headless chickens
i vouched for Hendo vs Citi akaja kuniangusha mbaya baada ya gemu ile siamini kama under his Captaincy il win anything....