Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mane anatoa pasi utadhani yupo Ndondo cup
Sioni ni kwa namna gani tutakuwa mabingwa kama tutaendelea kucheza kama hivi.
Tunacheza mpira mbovu na wa polepole sana. Labda kama tumeshakata tamaa ya kuwa mabingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app