Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp sio Muumini wa Kuplay Man-Marking

OGS sio Muumini wa Kupaki Basi, but I'm not sure about Man-Marking

OGS ni Muumini wa Kaunta.

Kwa sasa OGS hutegemea zaidi Creativity ya Pogba katika Penetration ya pasi za mwisho.

Kwavile Klopp hana mpango na Man-Marking, Ni lazima Fabinho awe katika Njia muda wote kuintercept Penetration passes za Pogba kuelekea kwa Attackers (Mostly Rashford).

VVD muda wote awe Nyuma ya Matip na wasiwe sambamba japokuwa Mmoja yupo kushoto na mwengine yupo kulia.

Iwapo atacheza Keita basi Bobby acheze Centre Forward kama Traditional Namber 9,

But ikiwa ataanza Hendo badala ya Keita, Bobby acheze False Number 9 akitokea Centre zaidi huku Mane na Salah wakiwa mbele Yake Muda wote.
 

Mzee man u hafungwi akifungwa najiondoa ramsi jamii forum na naweza jinyonga leo ucku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale OGS anapotaka Msaada Kutoka Kwa Ferguson

"He (Ferguson) would be welcome to talk to the players if he wanted to, the gaffer, because we know how much it meant for him to overtake Liverpool,"
Ole is a spiritual son of SAF (Cantona,2019).Ole ni version mpya ya SAF.Wewe vumilia tu kwa kipigo cha leo mambo ya msaada ni mawazo mgando ya kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mashabiki wa liverpool mshawai kusikia kitu kinaitwa city of manchester

thats enoughu

cityzen chairman am here
 
Hivi mashabiki wa liverpool mshawai kusikia kitu kinaitwa city of manchester

thats enoughu

cityzen chairman am here
Haha mkuu nyinyi city hata siwawazagi

Kwanza unapata wapi kiburi cha kupita mbele ya washabiki wa LFC

Wewe kawazingue Man u hao ndo mshaga wageuza watumwa weno

Conclusion MKUU LEO NARUDI KWENYE NAFASI YANGU NAOMBA NJIA TAFADHALI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unamqoute Mshabiki Bandia?

Huyo kaibuka From Nowhere anapita kila thread kujitangaza kuwa Nayeye yupo mshabiki wa Man City.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…