Kwa yule beki wako anayeweka karikiti kwann asifunge, amefunga Maguire na Antinio itakua fundi Rashy?
Jiandae kisaikolojia tu kuchezea goli zako 2 safi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Msimu uliopita rashford alifunga goli ngapi ot dhidi ya liver?....vipi beki alikua nan?
.....four o'clock !hiyo timu unayoizungumzia hapo we umeifunga ngapi msimu huu??
Mnacheza Uefa. Nawajulisha ni Uefa mnacheza. Hamchezi na Singida United bali ni Bayern Munchen ya Ujeruman. Ni bora mngekua mnacheza na Lincolin City au hata angalau Fulham au cardiff city. Nimewaambia mapema ili yakitokea yakutokea tusilaumiane
umeongea kimpira mkuu sio kimapenzi
Ubavu coman ubavu babu ribery dimba Thiago Alcantara Mtoto hatumwi Dukani
Ngoja nirudi Offline kwanza nivute muda
Umeandika huku unatetemeka na j pili huwezi kuachwa pale OTSalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh whaaaat a goooooooooooooal
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika huku unatetemeka na j pili huwezi kuachwa pale OT
Hakuna beki wa kati benchi...Tuombe tu Matip na Fabinho wasipate dharula yoyote...hatari sana