Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa nini Klopp asicheze ile pressing ya mwaka Jana hizi game za mwisho mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile style ni kazi nzuri ya mtu anaitwa Zeljko Buvac, alikua assistant wetu last season mpaka juzi hapa alipoondoka officially japo aliondoka tokea last season katika hatua ya semis CL.

Huyo ndio wanamwita 'The Brain' na ndio mastermind wa gengenpressing ambayo imempa klopp umaarufu katika career yake kama kocha maana wameanza na Buvac tokea Mainz, Dortmund na Liverpool.

So behind the scenes kulikua na The Brain, Buvac, ndio maana kama umecheki mechi zetu baada ya zile semis za Roma hatujacheza na high intensity tena kama tulivyokuwa tunacheza.

Japo kuna wakati unaona glimpses za gengenpressing ila ni variation tu nadhani sio ile kitu OG ya Buvac maana ile ilikua ndio mtambo wa 4G, 5G n.k
 
Lakini TOTO huyo dhaifu kamfunga SIMBA mara nyingi tu.
Nimeamini Liver ana maadui wengi EPL.
YNWA. Pole #Dully Jr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama ungekuwa unatoa speech ukayatamka haya, hata kiziwi angekuelewa.

No more no less.
 
mkuu kama una hisi ni gem ya kimpangompango huna haja ya kutoa hongera halafu huyo solanke katukosakosa mara kibao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini TOTO huyo dhaifu kamfunga SIMBA mara nyingi tu.
Nimeamini Liver ana maadui wengi EPL.
YNWA. Pole #Dully Jr.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani huyu bournomouth si amempiga 4g mtu flani juzi tu hapa,nilishasema mimi sina uadui huo kwa sasa...uadui wangu utauona next season ila kwa sasa nawaombea ushindi kwakweli
 
Sina hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
najua unajua na huna mashaka na mimi juu ya upande niliopo kwa mimi kuwepo hapa ni upenzi wangu wa soka na sio ushabiki wa liverpool.............
 
najua unajua na huna mashaka na mimi juu ya upande niliopo kwa mimi kuwepo hapa ni upenzi wangu wa soka na sio ushabiki wa liverpool.............
Najua. Wapenzi wa Soka haumizwi sana na matokeo ya fkk 90.
Wapenda team huumizwa sana na matokeo.
Vipi ikitokea team ikapotea katika sura ya ushindani?( Leeds united ya Lucas Radebe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…