Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi V.A.R ingekuwepo Epl Liverpool si mngekuwa bondeni huko..
 
Game ya leo kwa hizi siku za karibuni ndiyo game tuliyotengeneza nafasi nyingi zaidi!
Kwahiyo tukisema Midfield yetu ni hii huwa tunamaanisha ndiyo inayoweza kuwasaidia kina Mane na Firmino
 
Yani hizi injury ni vyema sana kuwa zinaanza kurudi tukiwa bado tunaoongoza ligi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom