Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo city anaongoza ligi na sidhani kama kuna timu itamtoa tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
aliongoza na tukamshusha huyu huyu Master Pep.
..
Anajua kuongoza pekee haitoshi mbali nani atatoka kidedea...juzi kasema timu hizi Liverpool,Chelsi, Ganaz, Manure, Spas na Man Citi eti zote hizo zipo mbioni kuchukua ubingwa EPl msimu huu..ndio ujue kapagawa si kawaida...na atazidi kupagawa pale jmosi tunaporudisha ari ya ushindi mnono kwa Bono...

nyie mpeni kichwa tu kumpa pointi sie twafanya yetu.
 

Klopp anatakiwa aongee na vijana warudi kwenye winning mentality jumamosi tumpige Bournemouth at least 2+ goals with clean sheet

Chakula kianze kushuka vizuri
 

Kauli ya Pep ilinistua yaani hadi manure daaah
 
WE ARE LIVERPOOL! REDS FOREVER💪💪💪💪💪💪💪

 
Jumamosi tunaenda kumtandika Bournmth kipigo cha mbwa mwizi, baada ya hapo tunahamia kwa Bayern tutampiga kipigo cha fedheha kubwa.

This is liverpool, ndio Club ya 3 kwa ubora duniani kwa sasa.

Anafungwa Barcelona, Juve anadraw zaidi ya 3 ndo ije kuwa sisi?

Kikubwa we are on top of the table. Tukutane May✊✊
 
Ndo mana tunasema hamna uwezo wa kuchukua epl kwa 7bu timu yenu nyepes,
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…