Snow iliwasaidia msifungwe ,sisi tutajitahidi tunawasaidia majirani zetu wachukue ubingwaNa foxes pitch ilikuwa na snow
Na hammers walikuwa well organized they deserve 3pts but they drop 2
Tuna-bounce back tunarudi kwenye form jumamosi
Kisha mtadroo sita.Tutakayofungwa
Moja tu amini hivyo
hii japo wengi hawaliona ni tatizo kubwa sana maana hatuna depth ya toa nondo ingiza nondo na hii inawalazimu hawa jamaa kua uwajani mechi zote EPL...Toka ligi ianze salah .mane .firmino .vvd..hawajapata muda wa kupumzka wala majeruhi ....wanajitoa asilimia zote ..lazima wachoke.....city kuna mda aguero anapumzka anacheza jesus..silva anapumzkaga..
Mkuu Chuga, umepotea humu si kawaida yako...Izo gemu 10 nje ya uwanja mutashinda.
Lakini matokeo tutakuwa nayo sisi.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
i can smell th winning trend is not far guys...Kauli hizi ndio zinatushushia dhahma kutoka kwa Allah
Absolutely man!!i can smell th winning trend is not far guys...
ukiona shinda zinakwadama mfululizo ujue furaha haipo mbali sana hivyo mateso yetu yameishia London Stadium...
Ahahaaaah...
Nimecheka sana aisee..!
Kwani ni sababu zipi zilizokufanya utoe kauli kuwa Liverpool ni bingwa msimu huu..!?
February to march kuna game 1 tu ngumu
Kwakweli hali sio nzuriaaa ulipambana ndugu ila ndio hivyo haikua siku yako na majeruhi ni wengi kwako...
mie bado nipo najikongoja mdogo mdogo[emoji41][emoji41]
i can smell th winning trend is not far guys...
ukiona shinda zinakwadama mfululizo ujue furaha haipo mbali sana hivyo mateso yetu yameishia London Stadium...
Alafu wewe wewe hahahahahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] maana inabidi nicheke tu ...unapoelekea sio kuzuri maana unaandika unafuta unaandika unafuta hii liver naifananisha na simba ya tz ambayo ilionesha kuwa tishio lakini sasa kila MTU anajua kuwa jamaa wanaweza kumaliza msimu kwa kilio wakiwa mikono mitupu....yaani mapinduzi chali,,sportpesa mweleka,klabu bingwa za USO ,FA mweleka sasa imebaki ligi ambayo nayo ni hopelessNilifuta kwa Muda tu Kauli ile.
Sasahivi nimeshairudisha tena kuwa Msimu huu tunabeba EPL.
Na ninajiamini kwa 100% kuwa Msimu huu tunabeba EPL na game mkononi.
Alafu wewe wewe hahahahahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] maana inabidi nicheke tu ...unapoelekea sio kuzuri maana unaandika unafuta unaandika unafuta hii liver naifananisha na simba ya tz ambayo ilionesha kuwa tishio lakini sasa kila MTU anajua kuwa jamaa wanaweza kumaliza msimu kwa kilio wakiwa mikono mitupu....yaani mapinduzi chali,,sportpesa mweleka,klabu bingwa za USO ,FA mweleka sasa imebaki ligi ambayo nayo ni hopeless
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa CL ni bahati ikikutembelea ni simple sana kubeba ndoo,ila huku kwye ligi ni ngumu sana aiseeh.....unashangaa unampiga man utd unakuja kubamizwa na Huddersfield inayobuluza mkia.......hapo ndipo utakapouninstal apps ya JF kwa kukimbia notsfctn za haters [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama hajapona Gomez akaja akshirikiana na VVD Ninachoomba Mimi tufungwe na Bayern tu ili tuwe nje ya CL tusijepata aibu huko mbeleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri wa CL ni bahati ikikutembelea ni simple sana kubeba ndoo,ila huku kwye ligi ni ngumu sana aiseeh.....unashangaa unampiga man utd unakuja kubamizwa na Huddersfield inayobuluza mkia.......hapo ndipo utakapouninstal apps ya JF kwa kukimbia notsfctn za haters [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Snow iliwasaidia msifungwe ,sisi tutajitahidi tunawasaidia majirani zetu wachukue ubingwa
Tutampa Pep point 3 na tutachukua point 3 mkija machinjioni Old Trafford
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha mtadroo sita.