Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwanza tumalize leo. Ya Man City yatajulikana.
Unamjua Felipe Anderson.? Kuna dogo anaitwa Declan Rice. Naomba tu utulivu leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game kuna watu watafia uwanjani. Wakati huo sisi tunacheza Man City, yeye Man U atakua anacheza na kama siyo Cardiff ni Fulham so kwa vyovyote vile ana asilimia nyingi za kushinda. Game ni ngumu kwa sababu naye City itakua ngumu kukubali kufungwa nyumbani kwake.
Lets wait
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tumalize leo. Ya Man City yatajulikana.
Unamjua Felipe Anderson.? Kuna dogo anaitwa Declan Rice. Naomba tu utulivu leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya hii game nitahakikisha Kazi zangu zote Nazistopisha 1 Hour before game huku nikiwa na Mirinda mkononi pamoja na sahani ya Maini ya Kuchoma.
Nitakuwa mshabiki wa Chelsea kwa dakika 90'.
Na Manure watakuwa washabiki wa Man City kwa Muda wa Dakika 90'.
Arsenal nao watakuwa Washabiki wa Man City kwa muda wa Dakika 90'.
Na mshindi au atakayepoteza katika huu mchezo si Man City wala Chelsea japokuwa wanaocheza ni wao! Bali hapo atakayeshinda na Kupoteza ni kati ya Liverpool na Man United.
- Iwapo Man city atashinda: Hapo aliyepoteza ni Liverpool na Aliyeshinda ni Man United.
- Iwapo Chelsea atashinda: Hapo aliyepoteza ni Man United na aliyeshinda ni Liverpool.
Mpira dakika 90 mkuu. Hebu weka akiba mengineLeo hakuna cha Anderson wala Rice wala ubwabwa..
Liverpool anatembeza kipigo tu
Na tukishinda leo basi Man City watakuwa disappointed kidogo.
best line up to cement our position at de topMy Line-Up kwa leo:
SALAH
KEITA - BOBY - MANE
FABI - GINI
ROBBO - VVD - MATIP - MILNER
ALISSON
Hapo ni lazina 3 Points tuzichukue..
Kikosi kikipangwa vyenginevyo basi Snow yaweza kutunyima ushindi.
I wish akupangie kikosi hikihiki najua mkipigwa hamtakosa sababu nyingine.My Line-Up kwa leo:
SALAH
KEITA - BOBY - MANE
FABI - GINI
ROBBO - VVD - MATIP - MILNER
ALISSON
Hapo ni lazina 3 Points tuzichukue..
Kikosi kikipangwa vyenginevyo basi Snow yaweza kutunyima ushindi.
Lalana ni mchezaji wa Vitoweo Fc sasa mnamkataa wa nnDuh Lalana tena? Atawapa tabu wenzake kuclear makosa yake.
Hata hivyo lazima tuuwe mtu leo.