Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Natumai na Leo anamfunga man city 2
Sababu yangu ni ushabiki kazi yangu sasa ni kuombea mabaya tu kwa city & totts [emoji16]
Mkuu kweli tumekwisha yaani tunapiga ramli Aseno ampige Citi ili tupumue...
kabla ya mzunguko wa pili kuanza sikuwai kuwaza tutajikuta na hali hii..
hapa tutegemee muujiza kama ule wa Citi kufungwo na N.casto na si kingine.
ili Klopp tumwelewe tena hii mechi ya OT sio ya kukosa kabisa kuchukua pointi 3 muhimu na hawa jamaa washiriki futuhi msimu ujao.
Hakuna namna mkuuKwa masikitiko leo King Ngwaba kwa Mara ya Kwanza Naomba Mpinzani Wangu Man City apoteze mchezo ili tumuongoze kwa points nyingi zaidi.
Yani sasa sitegemei ubingwa kwa uwezo wa timu yangu kushinda, bali nategemea ubingwa kwa kufungwa City.
[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa masikitiko leo King Ngwaba kwa Mara ya Kwanza Naomba Mpinzani Wangu Man City apoteze mchezo ili tumuongoze kwa points nyingi zaidi.
Yani sasa sitegemei ubingwa kwa uwezo wa timu yangu kushinda, bali nategemea ubingwa kwa kufungwa City.
[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ili Klopp tumwelewe tena hii mechi ya OT sio ya kukosa kabisa kuchukua pointi 3 muhimu na hawa jamaa washiriki futuhi msimu ujao.
Sawa Mkuu pole kwa kuwa katika hali hiyo.Hapa Hapa hatuongelei dini Bali tunaongelea mpira!
Kwenye dini ukiwa Mlemavu mguu mmoja, unapaswa kumshukuru Mungu coz kuna wengine ni walemavu miguu yote miwili.
Kwenye Mpira hakuna kitu kama hicho kuwa tumshukuru Mungu kwa Kupoteza points.
Kwenye Mpira unachotakiwa ni Kushinda Michezo Mengi Zaidi bila ya Kuangalia hali za Wengine kama ni Mbaya au Nzuri.
Halafu Timu nyengine kuwa na hali mbaya sio kigezo chetu kuwa nasisi tunadeserve kuwa na Hali mbaya!! Kila timu ipigane kwa his own way.
Maombi yetu pia yanakutana na wakati ngumu, unaweza ukaomba kweli ikatokea, je sisi tutashinda?
Maana nakumbuka siku ya Newcastle ilitokea halafu tukashindwa ku-exploit opportunity.
Hii ndio hali halisi kwa sasa ni kuombea mpinzani apotezee ili sisi kuzidi kujikita kileleni mwa ligi, kwa namna matokeo tunayopata tangu januari mpaka sasa ni dhahili hatukwepi kumtakia Citi vipigo ikiwemo mechi ya leo...Yadi katika jambo ninalolichukia katika maisha ya Soka ni hii kumpigia mtu Ramli kuwa eti tutegemee Apoteze ili tuongoze ligi!! Ridiculous..
Tunachotakiwa ni kuwa tushinde sisi wenyewe ili tuongoze ligi.. It doesn't matter kwa City kushinda au Kupoteza! Matokeo ya City sisi yasituhusu! Bali matokeo yetu tu ya kupambana ndiyo yatuhusu.
Haha bila shaka chini ya Ole Traford kumekucha kabisa..Klopp achukue 3Points pale OT? Lol!!
Hakuchukuwa kwa LVG na Mourinho waliokuwa wanasuasua aje achukue sasahivi ambapo bado wananguvu za soda.
Mimi naona tuende na Game plan ya draw tu.
Huyu bwana upangaji wa kikosi unaweza kuona kama upo ndotoni vile..Pale ni kufa na kupona, tumwombe Mungu ampe mwanga Klopp wa kupanga kikosi sahihi.
Haha bila shaka chini ya Ole Traford kumekucha kabisa..
kwa vile nao nafasi ya nne wanaihitaji naamini hawatapaki basi watafunguka hivyo itakua open game...atakaepanga kikosi bora na formation bora ndio atachomoka na pointi tatu muhimu.
Mkuu kweli tumekwisha yaani tunapiga ramli Aseno ampige Citi ili tupumue...
kabla ya mzunguko wa pili kuanza sikuwai kuwaza tutajikuta na hali hii..
hapa tutegemee muujiza kama ule wa Citi kufungwo na N.casto na si kingine.
Klopp achukue 3Points pale OT? Lol!!
Hakuchukuwa kwa LVG na Mourinho waliokuwa wanasuasua aje achukue sasahivi ambapo bado wananguvu za soda.
Mimi naona tuende na Game plan ya draw tu.
Yes we are Brothers!!! huu ndio muda wa kusaidiana.Leo city anatusaidia kutupigia aseno halafu sisi tutamsaidia city kumpigia liverpool
Wazee wa soccer managementView attachment 1012321