Hapana Mkuu si control chochote, kwenye mjadala wajumbe tunatoa mawazo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. fanyia kazi mazuri mabaya yapuuze.Hakuna tatizo, naona kama kuna aina fulani ya kutoka ku-control tunachojadili kuhusu Liverpool FC.
Hapana Mkuu si control chochote, kwenye mjadala wajumbe tunatoa mawazo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. fanyia kazi mazuri mabaya yapuuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes tunakuwa pamoja mfano. next two games tunamuombea city awanyuke Arsenal & Chelsea tuwavute chini so tutawapa mawazo mazuri na kuwaombea juu.Hahaha, toka lini ushauri wa mpinzani ukawa wa manufaa?
Sometimes tunakuwa pamoja mfano. next two games tunamuombea city awanyuke Arsenal & Chelsea tuwavute chini so tutawapa mawazo mazuri na kuwaombea juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha United nimetoa mfano sio kila Mara tunaombeana mabaya kwa wiki hizi 2 United tupo pamoja na City kwa shughuli maalum TOP 4Kwamba sisi tunaombea City ashinde game za Arsenal na Chelsea!
Nahisi unesahau uko jukwaa gani bosi.
hahahahahaaaaaaaa fumbo mfumbie mjinga, pengine alidhani unashabikia manchester unitedKwamba sisi tunaombea City ashinde game za Arsenal na Chelsea!
Nahisi unesahau uko jukwaa gani bosi.
hahahahahaaaaaaaa fumbo mfumbie mjinga, pengine alidhani unashabikia manchester united
Naona bado mnajibinua tu na kujiaminisha ubingwa ni wenu.....ubingwa wenu utaamuliwa O.T
Unapoingia vitani ni kuwa tayali kwa kila kitu.... kwa sasa ukilalamika hali uliyonayo wewe sasa man city, United, Asernal, Chelsea or Spurs atasemaje? ni vizuri kushukuru kwa kidogo ulichonacho maana wengine hawapo kwenye position mliyopo na bado mnalalamika.
But hapa sometime nafurahia jinsi manavyoweweseka.
By the way manaweza kushinda game ngumu zilizobaki na mkapoteza points kwa game rahisi so hold your nerves.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Hapa hatuongelei dini Bali tunaongelea mpira!
Kwenye dini ukiwa Mlemavu mguu mmoja, unapaswa kumshukuru Mungu coz kuna wengine ni walemavu miguu yote miwili.
Kwenye Mpira hakuna kitu kama hicho kuwa tumshukuru Mungu kwa Kupoteza points.
Kwenye Mpira unachotakiwa ni Kushinda Michezo Mengi Zaidi bila ya Kuangalia hali za Wengine kama ni Mbaya au Nzuri.
Halafu Timu nyengine kuwa na hali mbaya sio kigezo chetu kuwa nasisi tunadeserve kuwa na Hali mbaya!! Kila timu ipigane kwa his own way.
Kila mmoja apambane na hali yake au siyo?
Duu...endapo timu yako liverpool ikiteleza hapo juu , sizani kama itaweza kurudi tena kuongozaYah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.
Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.
Angalia hii
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.
- Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
- Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
- Amedraw michezo 7
- Amepoteza michezo 15
Yah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.
Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.
Angalia hii
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.
- Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
- Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
- Amedraw michezo 7
- Amepoteza michezo 15
Siyo wewe tu hadi kocha na wachezaji wameshajaa upepo,hii ndio liverpool tunayoijua wakati wa kumalizia ligihabari zenu wadau wenzangu,naiogopa sana mechi ya kesho hasa city akishinda leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kweli tumekwisha yaani tunapiga ramli Aseno ampige Citi ili tupumue...Yah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.
Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.
Angalia hii
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.
- Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
- Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
- Amedraw michezo 7
- Amepoteza michezo 15
ili Klopp tumwelewe tena hii mechi ya OT sio ya kukosa kabisa kuchukua pointi 3 muhimu na hawa jamaa washiriki futuhi msimu ujao.Hahaha, OT tunakuja kuchukua point zetu 3.
Nyie tutunzieni.
pambana uingie Big Four haya ya ubingwa tuachie na Tot, na jirani yako....Naona bado mnajibinua tu na kujiaminisha ubingwa ni wenu.....ubingwa wenu utaamuliwa O.T
hata Citi wanaiogopa Aseno, mkuu ligi ikishakua hivi hio hali haikwepeki kabisa...cha msingi ni kutulia na kuona hii movi inavyokwenda...habari zenu wadau wenzangu,naiogopa sana mechi ya kesho hasa city akishinda leo
Sent using Jamii Forums mobile app