Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Itakapotokezea kueka gape la points 10 kwa hawa vijana wa Man City mbona tuandae parade tu ya viunga vyote vya jiji la Liverpool...
Siku hiyo mpaka miti itakuwa Red.
Mnatudharau , subirini tumsimamishe kwanza, hiv mnadhan kila siku matatizo yangu yatakuwa hayo hayo, ?
Mimi pale hata sare naihitaji,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo points atakazopoteza kwake lakini sio kwa Arsenal hii ninayoijua Mimi..
Hahaa, naona msimu huu ubingwa umewapenda, ila ombi langu moja,
Nipigieni nyumbu, wanakelele sana, mpira hana anavizia vizia counter attack ,wakati ile timu bado,
Ubingwa unahitaji na bahati. ,na bahati naona inawadondokea, kazi kwenu,
Mimi city naenda kutafuta sare, tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 uhakika ,Msipokomaa top four hamuioni...
Mara nying ili uwe bingwa inatakiwa na bahat ikufate,Wazungu wana msemo wanasema, "Fortune Favors The Brave".
Bahati haiji tu hivi hivi.
WATCH THIS VIDEO, AND TELL ME WITH YOUR CHEST THAT THIS MAD BASTARD IS NOT THE TOP FIVE GREATEST FOOTBALLER TO EVER SET A FOOT ON THIS PLANET!!!!!!!!!!!!!!!
ABSOLUTELY PRICELESS!!!!!!!!!
Too early mkuuHii kauli yangu huwa Ninaisema maranyingi....
Liverpool ni bingwa wa EPL 2018/2019
Uliwaza sana mkuuLeo Benitez atakuwa anajaribu kutupigania.
Ataweza?
Too early mkuu
Punguza mihemuko isiyo na maana
We have been here before ... Twice
Hili lishakuwa tawi lenu maana linawapigania kwa kila Hali...hongereni
Labda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,City yupo na Arsenal, Chelsea then Westham next.
Tushinde tu zakwetu wao wapambane na hali yao
Malizia na maneno "KWA MARA YA KWANZA"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hii kauli yangu huwa Ninaisema maranyingi....
Liverpool ni bingwa wa EPL 2018/2019
Labda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,
Leo
Liverpool 0 Leicester 1
Wenzako Jana wameacha manyoya tu hahahaaaaaaaaaaa
Mbeleko,bahati ndizo zitawaponesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akipigwa?Mkuu hizo points atakazopoteza kwake lakini sio kwa Arsenal hii ninayoijua Mimi..