Yaani ndiyo hivyo laiti wangeshinda mechi yetu tungeharibu maana tungekuwa tunacheza kwa presha yao....Naamini pia hamu ya kushinda imeongezeka mwaka wamatumaini huu
Ila sijui kwa nini tusipotarajia ndipo panatokea
City vs Leicester(away)
City vs Palace (home)
City vs Newcastle(away)
hatukutarajia pep adondoshe 3 points.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha sana kucheza ukijiamini ngoja tuisubili keshoYaani ndiyo hivyo laiti wangeshinda mechi yetu tungeharibu maana tungekuwa tunacheza kwa presha yao....
Ila kwa kuwa wamechspwa mechi ya kesho itakuwa niyautofauti sana tofauti na vile tunavyofikiria ila lazima mwanzo watakaza sana ila tutakapowavuruga pale watakaporuhusu goli hapo ndipo tutakapozalisha magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Bingwa wakati mwingine huitaji bahatiYaani ndiyo hivyo laiti wangeshinda mechi yetu tungeharibu maana tungekuwa tunacheza kwa presha yao....
Ila kwa kuwa wamechspwa mechi ya kesho itakuwa niyautofauti sana tofauti na vile tunavyofikiria ila lazima mwanzo watakaza sana ila tutakapowavuruga pale watakaporuhusu goli hapo ndipo tutakapozalisha magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka ushakua wetu huu natamani sana kesho Faby asimame kati na sio neki 2Man City wangeweza kumaliza game first half, maana defense ya Newcastle umefanya makosa kibao na City hawakuwa makini.
Yaaah kizuri hatutocheza kwa kupitiliza kujiamini ila mchezo utakuwa mzuri wakujikinga ila kwakutafuta magoliRaha sana kucheza ukijiamini ngoja tuisubili kesho
[emoji2][emoji2][emoji2]ukorofi huoBingwa wakati mwingine huitaji bahati
embu fikiria city vs Newcastle alafu city dk ya 1' anapata goli matarajio ilikua Kuna kupigwa 5+
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]dah hapo kwa kweli cityCity yupo na Arsenal, Chelsea then Westham next.
Tushinde tu zakwetu wao wapambane na hali yao
City yupo na Arsenal, Chelsea then Westham next.
Tushinde tu zakwetu wao wapambane na hali yao
Nlikua na khofu sana na gem ya kesho walau nimekua na afazali mana hata tukipoteza bado tupo vile vile dah
Shua mchezo utakuwa mgumu ila naimani kulingana na matokeo ya leo washikaji wametupa nguvu mara tano zaidi ya kupambana kufa na kupona siku ya kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Shua yaani kama league sasa ndiyo inaanza...Kesho ni fainali, tutafia uwanjani!
Ikitokea tukashinda game ya Leicester, tutamwongezea City pressure game zake mbili zijazo, ya Arsenal na Chelsea.