Huyu dogo ni regista kabisa anapiga pasi flani impossible long & short, kind of player kama Pirlo (maana imebidi nikamalizie clip)
Dunia ya mpira imebadilika, sasa na kuendelea inahitajika flexible player kutokana na mifumo ya kocha (Klopp mmoja wao) huoni hasumbuki sana kusajili natural striker anabaki na Bobby (kama uliangalia game zidi ya CP baada ya Millie kutoka Bobby ali-play RB position) vivyo hivyo kwa Faby, sasa Anavyom-force Keita
Hii hutumika kuwa na more options na kufanya mabadiliko ya mifumo huku mechi inaendelea bila kuathiri na kutoa loop holes kwa wapinzani
Sipendi usajili wa watoto lakini huyu dogo amenivutia