Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,319
- 11,008
Huo muda wa mimi kuchukua ratiba za timu za Uingereza kukuwekea hapa sina aisee..!Ujuaji kukuekea Facts?
Mimi nimezungumzia Timu yangu ya Liverpool na Timu Nyengine.
Mimi nimeweka Ratiba ya Liverpool ya December, Sasa wewe weka Ratiba za:
Man U ya December
Chelsea ya December
Arsenal ya December
Spurs ya December
Man City ya December
Namimi nitakuekea za kwao za February na March halafu tuangalie Je watakuwa na Mechi nyingi zaidi kuliko walizokuwanazo November & Decembe kama ulivyodai? Au watakuwa na Mechi kidogo kama ninavyodai!
Shida iko wapi? Si weka tu Facts uniprove wrong! Hapa tunakwenda kwa Facts na si kutafuta huruma brother.
Kwa kutumia common sense we jama uelewa wako ni mdg sana kwenye issue za footballHuo muda wa mimi kuchukua ratiba za timu za Uingereza kukuwekea hapa sina aisee..!
Inaeleweka kabisa kuwa timu inavyokua kwenye mashindano mengi basi inakua na michezo mingi zaidi na probability ya kuwa na majeruhi wengi katika timu inakua kubwa zaidi..!
Ila hii sio debate mzee,ni mjadara wa kimichezo tu...
Na kwakuwa wewe ushajinasibu unafuatilia (na kuuelewa bila shaka)mpira kushinda mimi,hata hizo facts unazohitaji hazitasaidia kitu Mzee..!
Unataka ushahidi kutoka kwa mtu mwenye uelewa mdogo..?Kwa kutumia common sense we jama uelewa wako ni mdg sana kwenye issue za football
No research no right to speak
How comes fab na march kuwe na match nying kipind amacho una mashindano mawili,unaambiwa uletee evidenc huna kutuelewe vipi hoja hutetewa kwa hoja tetea hoja yako kwa kuleta ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
February na March kuna mashindano mawili..?How comes fab na march kuwe na match nying kipind amacho una mashindano mawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda jamaa wanamaanisha Liverpool ana EPL na UCL wakati man city ana EFL, UCL, EPL na FA CUP, so anaamini lazima mwenye mashindano mengi atakuwa na mechi nyingi zaidiFebruary na March kuna mashindano mawili..?
Uko serious au unatania..?
Unaweza kuyataja hayo mashindano mawili..?
Ooh...Labda jamaa wanamaanisha Liverpool ana EPL na UCL wakati man city ana EFL, UCL, EPL na FA CUP, so anaamini lazima mwenye mashindano mengi atakuwa na mechi nyingi zaidi
Labda jamaa wanamaanisha Liverpool ana EPL na UCL wakati man city ana EFL, UCL, EPL na FA CUP, so anaamini lazima mwenye mashindano mengi atakuwa na mechi nyingi zaidi
Ooh...
Kumbe yeye alifikiri mimi ninaizungumzia Liverpool..!?
Ahahaaah,hilo ndio tatizo la kuchangia bila kupitia convo vyema..!
Huo muda wa mimi kuchukua ratiba za timu za Uingereza kukuwekea hapa sina aisee..!
Inaeleweka kabisa kuwa timu inavyokua kwenye mashindano mengi basi inakua na michezo mingi zaidi na probability ya kuwa na majeruhi wengi katika timu inakua kubwa zaidi..!
Ila hii sio debate mzee,ni mjadara wa kimichezo tu...
Na kwakuwa wewe ushajinasibu unafuatilia (na kuuelewa bila shaka)mpira kushinda mimi,hata hizo facts unazohitaji hazitasaidia kitu Mzee..!
February na March kuna mashindano mawili..?
Uko serious au unatania..?
Unaweza kuyataja hayo mashindano mawili..?
Uefa and eplLabda jamaa wanamaanisha Liverpool ana EPL na UCL wakati man city ana EFL, UCL, EPL na FA CUP, so anaamini lazima mwenye mashindano mengi atakuwa na mechi nyingi zaidi
Mimi huwa nafuatilia ISIDINGO,mpira unafuatilia wewe..!Ni sawa na Kusema kuna Mashindano MAWILI.
Kwasababu CL na EPL ndiyo mashindano mawili pekee ambayo hayaathiriani kwani yameshapangiwa ratiba ya Msimu mzima.
Lakini FA na Carabao ratiba hupangwa kila baada ya kuingia hatua nyengine.
Na Ndiyo mana EPL, FA na Carabao yanaathariana..
Kwahiyo timu inapocheza FA au Carabao basi Michezo wake wa EPL kwenye Siku hiyo unaekwa Kiporo.
Na ndiyomana inakuwa sawa na kuwa Mashindano mawili Kwani Nafasi ya FA na Carabao inachukuliwa kwenye nafasi ya Mchezo wa EPL.
Kwahiyo Katikati Kipondi cha kuanzia February timu zitakuwa na Wastani wa Michezo 4 au 5 tu! Tofauti na November, December na January ambapo timu zinakuwa na wastani wa Michezo 8 na 7.
Haya utayajua ikiwa unafuatia Soccer.
Sawa..!!!
its coming n so nice we wrap th season at Anfield Fortress Vs Wolves...Sisi tunaendelea kusema it's coming HOME!
LIVERPOOL MAKE FIRST SIGNING
Liverpool have reportedly sealed a deal for 16-year-old centre-back Billy Koumetio from US Orleans.
The highly-rated youngster had a successful trial with the Reds at the end of last year, with reports now suggesting he has signed a permanent deal for a nominal fee.
Source. Skysport
if this is true, its for the future sio kwa hili janga la majeruhi.Hii ni gamble kama kwa Ki-jana na si kwa current situation