Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
defintly, mpaka sasa City bado anapewa pointi nyingi kuchukua ubingwa na wacheza kamali na wachambuzi wazoefu UK hio sio bure mbali City anakikosi na wachezaji wenye uzoefu na kocha mzoefu wa kuchukua makombe tofauti...Ahahaaah...
Upo sahihi,adui yako muombee njaa...
Ila pia usisahau,never underestimate your enemy..!
Wacha upumbavu wewe..Niwe Mkweli tu! Haitotokezea Man City Kuwa Juu ya Liverpool Msimu huu wa 2018/19
View attachment 1004531
Kweli kabisa...defintly, mpaka sasa City bado anapewa pointi nyingi kuchukua ubingwa na wacheza kamali na wachambuzi wazoefu UK hio sio bure mbali City anakikosi na wachezaji wenye uzoefu na kocha mzoefu wa kuchukua makombe tofauti...
Kwetu sisi Liverpool ni kuhakikisha kila mechi tunacheza kwa umakini ili kutoka na ushindi wa pointi 3 muhimu.
Ya City tuwaachie wenyewe tupambane na yetu.
Ni ukweli au hiyo ni imani yako..?Niwe Mkweli tu! Haitotokezea Man City Kuwa Juu ya Liverpool Msimu huu wa 2018/19
View attachment 1004531
Matusi ya nini Olla?Wacha upumbavu wewe..
Nyie genge la Liverpool mnajiita mashabiki wa liver mutapoteana apa muda so mrefu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo karudi InstaView attachment 1004591
Kweli kabisa...
Huu ndio muda wa wachezaji wa Liverpool kuwa mbali na social media...
Inabidi wawe focused kwelikweli,wasipobeba kombe msimu huu mashabiki wake watakuwadissapointed sana,maana mashabiki wengi wa Liverpool wanaamini kuwa huu ni mwaka wao(wana haki ya kuamini hivyo)..!
Mkuu dalili zinaonyesha ni mwaka wetu kabisa ukizingatia matokeo uwanjani yapo vizuri kwa sasa..Kweli kabisa...
Huu ndio muda wa wachezaji wa Liverpool kuwa mbali na social media...
Inabidi wawe focused kwelikweli,wasipobeba kombe msimu huu mashabiki wake watakuwadissapointed sana,maana mashabiki wengi wa Liverpool wanaamini kuwa huu ni mwaka wao(wana haki ya kuamini hivyo)..!
Mo karudi InstaView attachment 1004591
Wacha upumbavu wewe..
Nyie genge la Liverpool mnajiita mashabiki wa liver mutapoteana apa muda so mrefu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli au hiyo ni imani yako..?
Mkuu dalili zinaonyesha ni mwaka wetu kabisa ukizingatia matokeo uwanjani yapo vizuri kwa sasa..
Pep anajitahidi na kikosi chake wasikae mbali nasi ili tukiharibu tu hawa hapa kuchukua ushukani...
hapa ni kikosi chetu kukaza hizo mechi 15 zilizobaki kuhahakisha tunamaliza msimu huu na kicheko...
Klopp mzuri tunae, wachezaji wazuri tunao, mashabili nguli wanaosimama nyuma ya timu tunao, nia tunayo ya kulichukua kombe cha ziada ni kupambana kushikamana mpaka mwisho..
Media za UK japo wameshaanza yao ya kututia presha utawasikia "ooh presha back to Liverpool" n.k ..sisi tunapambana na yetu Kombe litue mazima kwa shangwe.
good news Gini, Trent wanaweza kuwepo mechi ya Foxes...Mkuu usiwe na wasiwasi iwapo hili jinamizi la majeruhi halitoendelea kutuandama basi Liverpool ni Bingwa wa EPL 2018/19
good news Gini, Trent wanaweza kuwepo mechi ya Foxes...
Yajayo yanafurahisha
Most important thing! Gomez arejee kabla ya mechi vs Man United.
Also tunahitaji GINI na Trent wawe fiti kwa kila mechi kwa zilizobakia.
Maneno ya mwisho hayo kabla hamjakata rohoNawapa hai sana fans wa majogoo
Wazee wa kusindikiza wabeba makombe
Sent using Jamii Forums mobile app